Piczo

Log in!
Stay Signed In
Do you want to access your site more quickly on this computer? Check this box, and your username and password will be remembered for two weeks. Click logout to turn this off.

Stay Safe
Do not check this box if you are using a public computer. You don't want anyone seeing your personal info or messing with your site.
Ok, I got it
Back To Home Page
IIikuwa ni siku moja kabla ya ndoa yao iliyoandaliwa kisawasawa,gari zikiwa zinaandaliwa na wapambe wakiwa beneti kabisa na maharusi kuhakikisha hakuna dosari itakayo tokea. Tony akiwa mwenye mawazo alimuuliza mkewe mtarajiwa swali hili"mama watoto mtarajiwa baada ya usiku huu,hivi unafikiria kufanya nini baada ya ndoa hii"?akiwa anajiandaa kujibu swali lile zililia risasi kama kumi na tano hivi. Aliitwa Stella Butibe,mtoto wa mwisho wa mzee Butimbe aliependwa sana na wazazi wake.Familia ya mzee Butimbe iliishi Tabora,akiwa mkulima na mfugaji mzee Butimbe alimudu kuisaidia familia yake. Siku moja wakiwa safarini kutoka Dar es salaam wakiwa ndani ya treni walipata ajali Dodoma na mzee Butimbe na Mkewe wakafariki Dunia.Lilikua pigo kubwa sana kwa Stella aliewategemea wazazi wake kwa hali na mali.Baada ya mazishi Stella alirudi Tabora akiishi kwa bibiye hadi alipofikisha umri wa miaka 18 ndipo alipoamua kwenda Arusha kutafuta maisha. Alipofika Arusha alifika kwa kaka yake aitwae Alex nae alimkaribisha vizuri Dada yake huyo na kuahidi kumtafutia shula ajiendeleze.Alipata shule ya utalii na biashara pale Arusha na lifanya vizuri sana shuleni. Akiwa mwaka wa mwisho shuleni Stella alipata rafiki wa kiume aliitwa Freddy,huyu alikua mtoto wa mlalahoi mmoja ambae alikua mlinzi wa mzungu mmoja anamiliki mgodi huko mererani.Uhusiano wao ulidumu kama miaka mitatu ambapo tayari Stella alisha hama kwa kaka yake sababu allipata kazi. Siku moja Freddy alimuomba Stella amsindikize kwa baba yake kule kazini ili akachukue pesa wakanywe hata soda.Stella alikubali na walifika kwa baba yake Freddy na kumkuta yupo na mtoto wa Boss aitwae Tony..Ghafla Tony akatokea kumpenda sana Stella na baada ya Stella kuondoka na Freddy Tony alimuuliza mlinzi kama anamfahamu Stella. Wiki imepita toka Tony amuone Stella akiwa na Freddy..akiwa na mawazo kibao Tony alihisi kuingiwa na hamu ya kukutana na Stella kwa mara ya pili ili angalau wafahamiane. kwa bahati mbaya Tony alikua likizo na alitakiwa kuondoka wiki inayofuata kwahiyo matumaini ya kumuona Stella yalififia. Akiwa kazini siku moja Stella alipokea simu ya mgeni aliefanya booking ya safari ya porini kwa wiki4,hii haikuwa kawaida ya wageni hasa kipindi hiki ambacho si cha wageni wengi.Mgeni yule alikuwa ni Tony ambae tayari alishajua ni wapi na ni vipi atampata Stella. Siku ilipowadia kama ada gari la kampuni lilimpokea Tony na wageni wengine. Baada ya sfari Tony alikuwa Hotelini akiwaza ni jinsi gani atampata Stella,ghafla alitokea Freddy akiwa anapita kwenda town,Tony akamwita na kumwambia kuna mahali aliwahi kumuona ila hakumbuki.Freddy alimkumbuka vizuri Tony na akamkumbussha kuwa alifika kwao na baba yake ni mlinzi wao.Tony alifurahi akampa Freddy shillingi elfu hamsini akamsihi amlete yule dada aliekuja nae pale kwao. Freddy aliingiwa na wasiwasi akajua sasa analiwa matunda yake ,akafikiri alivyo ny dhiki na hana njia ya kupata kipato chochote...akajua disko lmeingia mmasai.Alikubali kwa shingo upande akaondoka na kwenda zake kwa Stella. Siku iliyofuata Stella alitumwa pale hotelini na Boss wake,alipofika alimkuta Tony akipata kifunguakinywa..Tony alishtuka akajua ni Freddy ndio alimpigia ile pass ya kisigino. ............Freddy akiwa anawaza nini afanye akaona ni bora aende ofisini kwa Stella ili akamuone na kumpa story za jana.Alipofika ofisini akaambiwa kuwa Stella yupo hotelini ameitwa kikazi.Nguvu zilimuishia mwanaume akatoka mbio kwenda hotelini,kufika akakuta Tony yupo na Stella lakini Stela alipomuona Freddy hakushtuka,Freddy akajua walikua kwenye maongezi ya kawaida tu. Wiki mbili zimepita sasa Freddy na Stella hawaonani,Freddy akifika ofisini kwa Stella anaambiwa yupo safarini,Freddy hana simu na hawezi kupiga kwa Stella kwani hakuwahi hata kumuuliza namba yake ya simu. Tony alishamaliza kazi ya kumlainishalainisha Stella kwa ahadi nzito nzito na alishaanza kuzitimiza.Kesho twende shopping Dar then tukapumzike Nairobi au vipi Honey?aliuliza Tony Stella yeye alijibu hewala bwana. Baba yake Freddy alipewa zawadi na Boss wake ya kwenda kutembea Amerika baada ya kumtumikia Boss wake miaka kumi bila tatizo lolote,alipewa ofa ya kwenda na watu wawili zaidi...ndipo alimchukua Freddy na Mkewe.Walikaa mwezi mmoja na siku zilipokaribia kwisha Freddy aliingia mitini na kuwacha wazazi wake katika wakati mgumu. alijiunga na waafrika waishio mamtoni bila vibali akawa mtu wa mazari tu. Tony na Stella wakawa watu wastarehe tu..leo bills kesho california dreamer...jana jollys juzi Q-pub.wakapanga kwenda kwa kina Tony amerika kupumzika ila wale hewa mwanana katika ufukwe wa Miami.wakiwa huko wakapanga mengi juu ya maisha yao ya baadae. Kila mara Freddy alipomfikiria Stella alishikwa na hasira na moyo wa kulipiza kisasi na aliahidi moyo wake kutofanya kosa tena la kupenda kupita kiasi.alizisaka hizo zinaitwa dola kama mwehu.Haukuweza kupata ajira nzuri hivyo alizisaka kwa style ya giza. Akiwa katika mtaa mmoja ndani ya states alikutana na vijana mablack waliokaa muda mrefu sana amerika.Walikua wakijishughuklisha na music wa Rap,akajiunga nao lakini hakuweza kufanya vizuri sana ila hakukata tamaa akawa kama Dj wa kundi hilo. akaanza kuzi-make kishujaa kwani kundi hila lilifanya vizuri katika anga za rap na RnB,akaanza kushika dola elfu elfu laki laki na mara akawa Dj maarufu west coast nzima.Kama huamini muulize Dr Dre atakuambia. Siku moja akiwa kazini ndani ya ukumbi wa Hey club alimuona Stella akiwa amepambika haswa,mtoto alikuwa napozi za cali-cali beach...akajua wazi Tony atakua karibu,akasema leo ndo siku ya kuunda channel zake.si ana mawe?akaagiza vijana wamfuatilie binti hadi wajue alipokua anaishi.Kazi ilianza na yaliyoendelea mimi sijui. Jumamos asubuhi Freddy yupo na wapambe supermarket,ghafla anaitwa jina lake kwa sauti..."Freddy...Freddy.."sup! akajibu..alikuwa ni Stella.Hakuonyesha kujali sana Freddy alijifanya kama hana hasira wala chuki.Walisalimiana na Stella akaomba msamaha na kusema ilkua haikuandikwa na Mungu.Kidogo iligusa moyo wa Freddy na kuona asilazimishe kupenda au kupendwa.Waliongea mengi wakabadilishana address na kila mtu kuchukua time yake. Freddy alikuwa mtu wa jazba sana lakini hata mimi namsifu kwa kuwa aliamua kumwachia Tony uhuru.Mipango ya harusi ilishakamilika na Tony na Freddy wakiwa mabest wakubwa wakawa bega kwa bega katikakuhakikisha kuwa wazazi na baadhi ya ndugu wana hudhuria tukio hili muhimu...Freddy akawa kiungo muhimu kwa ndugu na alidiriki kutumia hata pesa zake ilmradi mambo ya ex wake yatimie. "Freddy you are wonderful man i have never seen,immagine you are helping me without feeling any pain in your heart" alitaka Freddy awe na hasira angeweza mziki wa mtoto wa kihuni?(maneno yangu haya) Ikiwa zimebaki siku 3 kabla ya Harusi,Tony alipata mshtuka na ilibidi alazwe hospitali kwa muda wa siku8,ndoa ikashindikana kufungwa na ikaahirishwa.. akiwa anamhudumia mchumba wake alihisi kumpenda sana Freddy mpenziwe wa zamani,aliingiwa na roho ya huruma akakumbuka alivyomwacha solemba na sasa anamaisha mazuri kushinda hata Tony..akaona wakirudi nyumbani amuombe watoke out ili akamwambie kinachomkera moyoni mwake. Stella akamuomba Freddy..kijana handsome..alienapesa sasa kama chizi,"Freddy tunaweza kwenda out jioni ya leo"?ah leo nina piga Long beach Pac na Snoop watakua pale labda uje backstage then nikimaliza tutakua pamoja hospital then we can go somewhere....alijibu Freddy akionyesha kuwa nilazima waende hospitali kumcheki Tony ndo wanaweza kufanya lolote,Stella aliona anachelewa kutoa dukuduku lake ....je Stella anataka kurudiana na Freddy?nini anataka Stella ...Je pesa au? ana mapenzi ya kweli Stella kwa Tony?mimi pia sijui itakuaje ila naomba uwe nami bega kwa bega tujue nini hatima ya sehemu ya pili na tatu
EVERYTHING I DO LIVE (Celine Dion And Bryan Adams)

Video Code provided by VideoCodeZone.Com



Mgojwa vipi?aliuliza Freddy huku akimtazama kwa makini sana Tony..Hakujibu kitu bali alionyesha maumivu makali sana.Samahani mama nadhani wewe ni Nurse hapa na unamhudumia ndugu yetu hapa..unaweza kutupa maendeleo ya mgonjwa wetu?..aliuliza Tony akiwa na shauku kubwa ya kujua kulikoni.Amepumzika tu kwani amepata dawa kali na msimsumbue ..mengine subirini Daktari aje awaelezee. Saa saba na nusu mchana tukiwa tayari na majibu ya Tony bibie Stella alikumbushia miadi yetu ya jana .....Tunaweza kufanya ile habari sasa Freddy?bila shaka alijibu Freddy. Ok twende basi capuccino restaurant pale wana vyakula vya kiitalia.No doubt babe..alijibu Freddy..... Samahani Freddy kwa yote niliokufanyia na naomba uyatoe moyoni leo...alianza Stella kwa kuomba radhi.Pia naomba ufikirie sana juu ya maisha yetu yalivyokua ...akaja waiter na kuuliza "naweza hudumia tafadhali"?eeh coke baridi tafadhali na number 23 kwenye menu.alisema Freddy..Mimi naomba glas ya hennessy na namba 4 kwenye menu...haya ni maneno ya Stella. Mbona unaanza mapema leo na hii miwisky?au unakitu kinakukera moyoni?aliuliza Freddy alikua kabisa kwamba Stella anatoa nishai kwa pombe ili aweze kuwa huru.Hapana ninahisi uchuvu na nikipata hii nitachangamka kidogo. Nakusikiliza Stella sema sasa.....Ok sijui nianzie wapi? ...anzia popote au pale ulipoishia alijibu Freddy.Ok.......alianza Stella binti mrembo aliekamilika kila idara,toka mapokezi hadi kwaheri mwanaume utachekacheka tu..na unaweza ukawa mtu wa kumeza mate au kufikiri si saizi yako kwa ulimbwende alionao dada huyu. Umeshanisamehe na kusahau yooote niliokufanyia?aliuliza Stella huku akipiga funda la mwisho la hennessy.kwani wewe unadhani unahitaji msamaha?na kwa kosa gani mbona huweki bayana?aliuliza Freddy....Freddy bwana sweetheart nisamehe tu bure,mwenzio niliingiwa na shetani tu..alisema Stella huku akibana pua. Freddy mwanaume wa shoka,alifikiri kwa muda ni nini hatima ya mapenzi kati ya Tony na Stella,na ni vipi aliweza kutemwa na Stella bila hata kupewa taarifa,alijikuta akiwa kwenye dimbwi kubwaa la mawazo.Alifikiri mengi yakiwemo,kama anataka nimsamehe je akisema turudiane ,nitakubali?nini kitatokea kwa Tony?Yes Stella ni mzuri sana lakini je akinisaliti mara ya pili?Aliteseka sana tena kiume Freddy hadi aliposhtushwa na sauti ya Stella ikisema vipi sweetheart mbona umekaa kimya sana,nimekuudhi mpenzi? Tony aliendelea kupata nafuu na hali yake ikawa ya kuridhisha kabisa,Dokta alishauri abaki kwa wiki moja zaidi ili apate uhakika wa kutorudi Hospitali kwa mara ya pili ikiwa ni ugonjwa huohuo. Mara simu ya Stella ikaita...Hallo,nani anaongea...oh Tony vipi unaendeleaje?tulikuepo hospitali na Freddy sasa tupo nyumbani tunaandaa chakula then tunakuja..ok byee.simu ikakata.Haikua kawaida ya Stella kutomwambia Tony I LOVE YOU SUGAR Nna hata Tony mwenyewe alihisi kupungukiwa na kitu kwa kukosa neno hilo..japo yeye alisema I LOVE YOU SWEETHEART............. LAKINI ALIAMBULIA OK BYE. Ni Tony anakusalimu sana,mpenzi mbona hutaki kunipokea kwa mara ya pili na ya mwisho ktika maisha yangu?ni wewe tu Freddy ninayekupenda..kwa Tony nilifuata pesa na ningerudi tu kwako sikumoja.natumaini ningepokelewa kama nilivyo na matumaini makubwa leo.Freddy ni vigumu kwa mwanamke kilialia mbele ya mwanaume sababu ya mapenzi,nakupenda sana bado Freddy wangu ,nipokee na kunifariji kama zamani. Zamani,alisema Freddy...nilikua fukara ukaniacha,pesa zikakupeleka kwa Tony....na yeye unamsaliti..inaelekea wewe ni mtu wa kujali pesa na si ubinadamu.you dont keep your promises,i doubt..now let me tell you one thing.I love you as i love any humanbieng,same way as i love Tony.Na nimekusamehe rasmi leo kwa yote ulionifanyia na sita kukumbusha milele kama utaendelea kuwepo karibu ya upeo wa macho yangu. Zaidi nikwambie nilitaka kumfanyia Tony ubaya na yeye hana hatia na ntamuomba radhi pia na Mungu asaidie uhusianao wenu. Umenielewa?...Moyoni Freddy anataka kurudiana na Stella ila anahisi Stella anataka pesa tu kwake..ameamua kumpa mitihani Stella ili aone kama ataimudu.. Hatuna budi kuondoka Stella,nina kazi studio leo jioni na kesho Dr Dre na 2pac watafanya uzinduzi wa single ya Dre iitwayo Keep their heads ringing so lazima nikafanye maandalizi.Karibu kwenye show kama utapenda.Stella laijua wazi kwamba Freddy alikuwa serious.Na alianzakukata tamaa ya kuwa na Freddy na nikweli alimpenda sana. Tony ameruhusiwa na yupo nyumbani na mchumba wake Stella,anashangazwa na mwenendo mzima wa Stella,kwani Stella amebadilika sana,hana raha,mbishi sana,anachukia hata akiambiwa anapendwa na vituko kedekede.Tony masikini hajui aanzie wapi kwani kila akipeleleza haoni sababu ya Stella kuchukia. Simu inaita pokea Stella....alisema Tony akiwa mnyonge sana.Hallo...ooh mahabuba mambo?ilibidi Stella aongee kiswahili ili Tony asielewe kwani aliepega simu ni Freddy.Poa tu Stella hali zenu wote,nataka kujua Tony anaemdeleaje na wewe pia.basi ngoja uongee nae ...........alijibu Stella. Hivi huyu Freddy haoni ninavyompenda jamani?leo nitamwonyesha mapenzi yangu kwake...alisema Stella huku akiwa na wazo la kufanya usiku ule..Alichukua dawa ya usingizi na kuweka kwenye Glas ya coke.Mpenzi leo nina furaha sana,nakupenda ila nilikua na huzuni sababu babu anaumwa sana Tanzania.Karibu soda ba watoto. Saa 6 na dk 5 Stella anatoka nyumbani kwa Tony anaelekea kwa Freddy,Tony akiwa amelewa dawa ila ya usingizi.alitembea haraka kama anafukuzwa vile chap chap hadi kwa Freddy.akabonyeza kitufe cha mlango na Freddy akauliza Nani mwenzangu? Alijua wazi akisema Stella,Freddy anaweza asifungue.Akajibu Catrine,can you open please?..yes i can..wait a moment please.alijibu Freddy. Moyo wa Stella ukiwa unadunda kwa hofu alisikia sauti ikisema "you can come in"alikua Freddy,kijana handsome na anaewachengua ma-du kinoma.Eh jamani mpya haya!!!!!!!!!!!!!!!Kulikoni mrembo wa Tony?amekufukuza nyumbani?alihoji Freddy.NO ...alijibu Stella,nakupenda and i can do anything to have you back my love.Freddy akaona huu ni mtihani,inawezekana Tony yupo karibu na wameamua kumpima.Akasema..You better go.I told you better stay with Tony,I wont take you back as my Girkfriend..halafu akamsogelea karibu na kumuuliza taratibu,UNANIPIMA?Tony yupo wapi? Stella akabuni mbinu mpya haraka na kumwambia Freddy...nimempa dawa kali za usingizi Tony kwaajili yako sasa kama hunipokeni na kukubali niwe mpenzi na ikiwezekana mke wako nakunywa sumu na hii hapa mkononi.Freddy akajua ni kweli Stella anasumu,akafikiri akasema ingia ndani.Haukujua afanye nini Freddy wa watu kumbe lile ndo kosa kubwa alilolifanya kwani kifika ndani Stella akavua nguo ghafla na kusema..tusiporudiana mimi na wewe leo napiga kelele unataka kunibaka na umempa sumu Tony ukanileta kwako. Mida ya saa 9 alfajiri Tony alishtuka na kukuta Stella hayupo,aliita na kuzunguka nyumba nzima bila mafanikio.Alidhani anaota,akaamua kumpigia simu Freddy ili ampestory hiyo.alipiga simu lakini haikupokelewa,akajua Freddy amelala,akaamua kupiga simu ya ndani pia haikupokelewa..akawaza inawezekana mshkaji yupo disko.Akawa mpole akisubiri kukuche ili aanze kazi mpy alioajiriwa na Stella ya kumtafuta. Cant believe that im the fool again,i thought this love would never end,how was i to know,you never told me.....wimbo wa westlife ulikua ukiimba redioni huku Freddy akiwaza mambo yaliyotokea,Stella yupo kifuani mwake akifikiria ni vipi amwache Tony.Ghafla akainuka na kusema NO...NO way i wont leave you again...huu wimbo siutaki weka station nyingine sweetheart.Freddy akaweka Radio 24..kuka wa na wimbo wa Uncle Sam...I dont ever wanna see you again,.......Stella akasema leo kama nimepangiwa mimi hizi nyimbo,and that i dedicate to Tony. Tony bado yupo gizani hajui nini kinaendelea,anataka kupiga simu Polisi lakini anahisi Stella atarudi..saa saba mchana anapiga simu kwa Freddy,landline na anapokea Stella akijibu kwa ushujaa kabisa.Mrs Freddy,who am i talking to?yalikua ni maneno toka kwenye mdomo aliokuwa anaubusu mwenyewe..sauti iliyokuwa inaguguma katika masikio yake..Mapigo ya mbio yakaemda moyo...akasema Stella are you Mrs Freddy?Haraka kwa kasi ya ajabu Freddy akaruka na kuchukua simu.Hey Brother nipo na demu wangu so this is not Stella ....Tony akajibu Good time Bro see ya!akakata simu. Tony akawaza ni lazima aende kwa Freddy akahakikishe na kujua ukweli wa mambo.aliwahs gari na kuelekea huko.Huku kwa Freddy alisha waza kwamba muda wowote TOny anawezakuja so akamwambia Stella huna haja ya kujificha kama kweli unanipenda mwambie ukweli mbele yangu nisikie. Ulikua mtihani mgumu kwa Stella lakini alimuomba Freddy amuhakikishie usalama na kumpenda daima.yes ofcourse i will,only if you wil ldisappoint him.....alisema Freddy Kengele ya mlango ililia na Freddy kama kawaida aliuliza "who are you?"Tony" alijibu TOny akiwa amepagawa na Freddy akamwambia Stella...........Tony is arleady here..check it out! Akawa anapiga hatua ndogo ndogo kuelekea ndani nyumbani kwa Freddy huku akiwa na wasi wasi sana..................DUh mAzEE....inakuaj
Sasa nataka nihakikishe mapenzi yako kwangu...Karibu bwana mdogo..jisikie uko kwako.Nina mgeni wako hapa ngoja nimuite..alisema Freddy Stella alikua akipanga ni vipi atali-solve lile noma..watu wa Tanga watasema lile "jinoma"nadhani nimekugusa shem mwanakijiji...Tony akiwa anahema juu juu kwa hofu na woga alishangaa mgeni aliefika sebuleni ni mchumba wake aitwae Stella.Nadhani hii kwako ni surprise bwana mdogo..alisema Freddy aliekuwa akijiamini kupita kiasi.Na ningependa iwe hivyo.Wewe ni mdogo wangu na huyu ni my ex-girlfriend sasa sijui nini kilimleta hapa kwangu labda akueleze mwenyewe. Wazazi wa Tony walikuwa wamekuja Amerika kupumzika kwa miezi miwili,Tony alisha wapa taarifa kuwa anatarajia kuoa na ni ndoa ya ghafla sana ila inahitaji muda mfupi na inatakiwa isiwe na shamrashamra za kutisha..Wazazi wake hawakua na kipingamizi juu ya uamuzi wa mtoto wao huyu kipenzi. Tony sikiliza ....mimi na Freddy ni mtu na mpenziwe,na nilishakueleza kama kuna mtu nampenda hapa duniani basi ni Freddy.Vumilia mwanaume ndio hali ya Dunia.No dont lie!alisema Freddy.Let him know the truth..kama vile walipanga,Stella akaanza kuongea uongo pale ..oooh nilikuja hapa sababu tulipanga tukupime kama kweli wanipenda,kwahiyo nimeamua nifanye hivi ili kuona kama nipo moyoni mwako au la. Freddy hakuona umuhimu wa kuficha isue yoyote..akaanza kusema ..sikia bwana mdogo..Ghafla Stella akagundua kuwa Freddy aliacha simu chumbani,akampigia ilimradi tu Freddy akachukue simu na huko angekutana na ujumbe kitandani ambao unamaliza kesi yote. Kama ni akili za chap chap basi binti huyu ni genius..kwani triki yake ilikubali kama alivyopanga na ile Freddy kufika tu chumbani akakuta ujumbe ufuatao.."Love tulia nikuonyeshe ni jinsi gani nakupenda..nipe muda nikutolee huyu Bushoke katika mazingira haya,naomba niachie mimi kazi hii,tafadhali naomba niamini mpenzi" Freddy alipoona ule ujumbe akawa mpole na akatoa nafasi kwa Stella kufanya atakalo.Alirudi sebuleni akiwa na hamu ya kutaka kujua nini kinaendela.Ndio wapenzi inakuaje sasa?Stella unarudi kwa mchumba wako?aliuliza Freddy....Na Tony kwa woga alishindwa hata kuuliza maswali,alishindwa hata kuuliza ni kwanini Stella aliamua kuja kwa Freddy. walifika kwao wakiwa kimya..kila mmoja akijiuliza maswali bila majibu..Stella aliwaza ni nini anafikiria Tony,Tony aliwaza ni nini anataka kufanya Stella.Basi ikawa ni ukimya ukimya wa kutisha.Tony alivunja ukimya kwa kuuliza ...hivi njaa haikuumi?Inaniuma alijibu Stella.Sasa utapika au twende Restaurant?..aliuliza Tony.Sijisikii kula alijibu Stella. Mazingira halisi ya majibu na ukweli kwamba Tony anampenda sana Stella vilisababisha Tony kuogopa kumkwaza Stella kwa maswali na alihisi Stella anampima tu na atarudi katika hali yake ya kawaida.Hivyo hakupenda na aliogopa kugusia juu ya yaliyotokea hapa awali.Lakini ukweli ni kwamba Stella hakumpenda tena Tony na alitamani hata kumuua ili aishi na Freddy wake. Freddy akiwa kwake amechoka kwani jana usiku alikua club akiwarusha watu wa wa Bosto kwa mipini ya uzito wa juu.Akamkumbuka Stella ..akapiga simu..Hallo?..ahaaaa mahabuba hali vipi?inakuaje jamaa alileta zogo?mi nipo ok tu nakupenda sana bibie.Kwahiyo inakuaje kuhusu kuonana?ok,then nipigie basi.simu ikakatika. Mchumba leo ninataka kwenda kwa Freddy halafu tutaenda hotel nae kisha nitarudi,kuna mambo muhimu ya kuweka sawa,samahani kama utakua mpweke,nitakupigia simu....bye bye sweetheart...Stella hakusubiri hata jibu la Tony,alitimua zake kuelekea kwa Tony.Huko walipanga mipango mingi na wakafikia muafaka. Ee bwana mdogo ndio naweza kuwa mpambe wako kwa harusi yako..yalikua ni maneno ya Freddy alieombwa na Tony kuwa mpambe wake siku ya Jumamosi ambapo ndio ndoa ingefungwa.Huku wapambe wa Freddy bila yeye kujua walipanga wamuue Tony ili yasijetokea maafa mengine baadae maana walijua lazima Freddy ataleta maafa na hawakupenda boss wao atolewe kafara na mtoto kama Tony au wato wenye sheria zao..nikimaanisha polisi.Hivyo walipanga mauaji siku moja kabla ya harusi. Kila stage Freddy alishiriki na alikua hajui ni nini atafanya mwishoni Stella,kwani pamoja na yoote waliozungumza na Stella hakuna hata lenye uelekeo wa kufanya kitu katika ndoa hiyo..nikiwa na maana hakuna deal ya kuharibu au kutibua ndoa isifungwe. Ilifika wakati Freddy akaona kama anapoteza muda wake kwani alihisi mwanamke si mmoja duniani na akiwa na Stella hatakuwa na Raha maishani kwani ataanza uhasama na watu kisa mwanamke.Aliwaza pia ni kwanini wanaume wachezeane akili kwa kitu kidogo kama hicho?Roho ya huruma ikamuingia na kuamua kumwita Tony..Bwana mdogo kaa hapa.sikiliza Dogo,Stella bado ananipenda sana na mimi nilihisi kumpenda kabla sijakwambia haya.nimeamua nikuachie wewe uamuzi..mimi simtaki tena na sitaki kuishi kwa hofu na bila amani.kama unampenda sana Stella muoe na kuwa na amani na mimi.Nipo tayari kukusaidia chochote kile kilicho ndani ya uwezo wangu. Stella alishapanga kumtema Tony siku ya harusi na aondoke na Freddy palepale.Akiwa hajui deal hii yote ,siku ilifika bwana harusi akiwa ndani suit kali sana na miwani nyeusi kama jasusi.Mpambe wake Freddy akiwa nae amevaa simple tu kama hakuna tukio muhimu saaana.Ilikua ijumaa na kesho ndo shamra shamra lakini waalikwa walikua wachache tu. Naona niwape nafasi muungee ya mwisho mkiwa kama wachumba kesho mtakuwa mke na mume.alisema Freddy akiwa anatoka taratiibu kuelekea nje ya chumba walipokuwemo Stella na Tony...Ghafla walisikia milio ya risasi..ikielekezwa pale walipo Tony na Stella....baada ya dakika kumi hivi polisi walifika na kukuta watu wakitoa huduma ya kwanza na wengine wakibeba mwili wa marehemu Tony...Tony alifariki Dunia kwa kupigwa risasi.........Ilikua ni huzuni kubwa kwa familia yake na Freddy pia,lakini kwa Stella ilikua shangwe kwani alijua sasa ni wakati muafaka wa kuishi na Freddy.................................. Baada ya mazishi Stella alienda kwa Freddy kumjulia hali,alipofika alimkuta na wakatoka kwa lunch.ilipofika mida ya saa 9 jioni ndipo Freddy akaamuakutoa dukuduku lake ka Stella..STELLA MPENZI,NASIKITIKA SIWEZI KUWA NA WEWE KWASABABU HUNA MSIMAMO.KAMA ULISHINDWA KUWA NA MSIMAMO KWANGU THEN KWA TONY.BASI HUNIFAI KWANI UNAWEZA KUJA KUNIPA MATESO BURE...NA SASA HIVI MCHUMBA WANGU ATAKUJA HAPA NA NITAKUTAMBULISHA...NAKUTAKIA KILA LA KHERI NA JIFUNZE KUWA MWAMINIFU NA MSTAARABU..PESA NI MAUA TU.na sijutii uamuzi wangu................