Piczo

Log in!
Stay Signed In
Do you want to access your site more quickly on this computer? Check this box, and your username and password will be remembered for two weeks. Click logout to turn this off.

Stay Safe
Do not check this box if you are using a public computer. You don't want anyone seeing your personal info or messing with your site.
Ok, I got it
SWEETHEART
Mimi nikiwa kama mbabe wa darasa nilichukua majina yale na kuwapa wenzangu pale darasani.......wakachagua kisha nikamalizia mimi.

        Nilipata jina la Habiba Hassan ambaye hakuchaguliwa na mtu yoyote pale darasani.Nikaenda dukani nikanunua kadi na kumuandikia barua nzuri kama rafiki yangu mpya wa kalamu.

        Baada ya wiki moja nilipata majibu yakionyesha furaha na faraja hasa ukizingatia muda ule nilikua nimetoka kuachana na Utukufu,dada niliemuweka moyoni kwa miaka 3 akaja kunisaliti kwa mtoto wa kigogo mmoja wa ngazi ya juu serikalini.

        Nikiwa bado na kumbukumbu za Utukufu,nilijifaji kwa kumpata rafiki wa kalamu nikiwa na mategemeo atakuwa mwandani wangu siku moja........nitampenda ila sitamuweka moyoni maana nimeteseka sana kwa Utukufu.nilijisemea moyoni jioni moja nikiwa nimelala kitandani.

      Naitwa kadogoo ama wengi hupenda kuniita K
nilizaliwa huko mbeya sehemu iitwayo mwanjelwa.Mimi na dada zangu wanne tulikua katika familia yenye misukosuko mingi kama vile kushuhudia baba na mama wakizichapa kama Tyson na Evander

        Nikiwa Darasa la kwanza,tayari nilianza kutamani wadada wazuri,nakumbuka tukio moja ambalo sitalisahau ni pale mwalimu wangu Kasubi aliponitandika fimbo nyingi ikiwa ni siku ya kwanza shuleni.Pia alinipeleka kwa mwalimu mkuu na nikaambia kesho yake nije na mzazi shuleni.

      Baba yangu   Mzee Kajigwa ni mkorofi sana,mara nyingi alionyesha ubabe kwa kila mtu na alitaka heshima bila uonevu kwa kila mtu.
Nilifika nae shuleni akapewa taarifa za yote niliyofanya na akasema yafuatayo........

      Nilikuwa na mawasiliano mazuri sana na Habiba nikiwa shuleni pale na tulikuwa tunaandikiana barua kila mwisho wa wiki.

            Tofauti na wenzangu wengi ambao labda hawakupata majibu au mawasiliano yao yalikuwa ya shida,mimi na Habiba tulikuwa kama tuliofahamiana miaka 2 iliyopita kwani ilikuwa kama hivyo

    Hivi mimi K ninashindwa kumtongoza huyu Habiba kweli.........nilijiuliza nikiwa na hofu huku kijasho cha pua na mkwapa kikinitoka.Siku hiyo nilipata picha ya Habiba.Mtoto alieumbika kisawasawa..sura ya mviringo,macho ya gololi na shingo kama ya twiga.Hakuwa na umbo la kimiss alikua amenona sana hasa sehemu za makalio na mapaja.Alikuwa na weupe   wa   maji ya kunde na midomo iliyo mibichi wakati wote.

      Habiba,
pole kwa masomo na maisha ya shule,mimi mzima kabisa na allah anajalia .........leo nakuandikia kiswahili ili nisichapie tena lugha ya wenzetu unajua tena nyie huko mnaongea kingereza muda wote.
    sisi huku ni maswahili speaker tu kwahiyo usijali.Hata hivyo tunadumisha lugha yetu ya taifa .
        Hadija,tumekuwa marafiki wa kalamu na tumebadilishana hata picha na kadi kwa muda mrefu sasa.Na nadhani ningependa nikuone na kuusabahi uso wako wenye furaha muda wote.

          nashawishika kuamini kuwa uzuri ulionao na uandishi wako mzuri hukosi mchumba umpendae sana na huyo kwa moyo mmoja namkubali kuwa shemeji yangu.

        Kama ni hivyo basi najihesabu nisie na bahati kwani nilitamani uwe wangu.Nahisi kukosa vingi na vizuri toka kwako kwani uzuri wako kwa mtu yoyote hata wanawake wenzako nadhani wanakusifia.

          Nilikuwa na ombi moja rafiki yangu wa kalamu...........................................................kabla sijamaliza kuandika barua hii nilipata barua toka kwa best yangu aitwae Juma.Nakumbuka siku hiyo mimi sikwenda parade na aliniletea barua kama 3 zote zikitoka kwa Habiba.

        Kadogoo mpenzi,
nashindwa kuvumilia kuwa kama rafiki yako tu.usishtushwe na ujuo wa neno mpenzi kwani umenivutia sana.Sijawahi kukutana na mwanaume kimwili ila nasikia wenzangu wanavyosifia raha inipitayo.
Naomba kama upo   single basi tufunge ukurasa huu wazamani   wa urafiki na tufungue ukurasa mpya wa mapenzi........***********************

        Mimi bwana ndio K.....huwa nayaweka sana hayo mnayoita mapombe.Siku hiyo nilienda kilabuni kwa mama muuza na kupata gongo yangu safi sana.Kwa kawaida nilikuwa nakunywa gongo kama lita 1 kisha naweka na ze safari lager moja.

      Shuleni niliheshimika kwa kuwa na pesa,watoto wengi walidhani mimi nina pesa sana kwani karibu kilasiku tulikuwa mimi na rafiki zangu kama watatu walevi na lazima tunakunywa bia tu.

        Kila siku mimi husema usilolijua litakusumbua kwani siri yetu tuliijua sisi wanne tu.

    Kipindi cha mitihani kilifika na nilikuwa nakaza msuli kwa vitabu kwahiyo mambo ya Habiba niliyaweka kando kidogo.Na yeye alikuwa pia na mitiihani kwahiyo tulipanga tukutane Dar tukifunga shule.

      K yani mimi,sikuwa na pamba za kunyuka kama ilivyokuwa kwa vijana wengine,mara nyingi niliitwa mgumu K kwani nilikua na suruali 2 na t-shirt 2 tu.
walisema siwezipata demu sister du kwani wanataka watu wasafi.Sikijali hilo na niliona wanampigia debe mbuzi kwani mi ndo K-mgumu bwana

        Kwa kawaida tukifunga shule   huwa kunakuwa na mkutano kati ya walimu na wanafunzi wote.Tukiwa tumekusanyika pale mstarini kila mtu aligeuka kando kuona nini kinapita,alikuwa ni binti alieonyesha ugeni wa mazingira aliyokuwepo.

        Nilikuwa nimevaa shati jeupe safi sana na suruali nyeusi.hii ilikuwa ni uniform ya shule na nilikuwa kama kawaida nimekata afro langu vizuri sana.Nikagundua yule aliekuja pale ni Habiba.

      Rafiki yangu mmoja aitwae Kibona alishawahi kusema kuwa anamfahamu sana Habiba na anajua mengi sana kuhusu Habiba,Mimi nilimdharau na kuona kama mnafiki tu kwani nilijua wapendanapo wawili ......maadui pia wapo na wana nguvu zaidi ya mshenga.

      Ni siku ya jumapili leo na nataka nikakutane na Habiba pale coco beach.Ndo yalikuwa maisha yetu kwani nilianza kuwa kibaka pale home.Senti ikikaa vibaya tu imekwenda na nilifanya haya yote   kumridhisha Habiba.

      Dont worry K,mimi baba yangu anakash kidogo na huwa ananipa ili wanaume wasinilaghai kwa pesa.leo njoo usiku saa 5 kisha nitakuwa na simu karibu utext kama ukiwa nje.uje na tax ili muweke karibu na ukuta nikipanda tu nashukia juu ya tax tunaenda disko.........alisema Habiba.


Kama kawaida ya wanaume tupatapo nafasi adimu huwa hatufanyi kosa,basi siku hiyo nikiwa na hamu ya tunda penzi,na nikiwa nahamu ya kulianza mimi kama alivyosema bibie Hadija kwamba hajawahi kuliwa uroda,nilipanga mashambulizi ya nguvu kuhakikisha kuwa leo nakula tunda hili nililoamini ni jipya.

      Demu hajatulia kaka na ni mapepe kinoma,amewahi kutoa mimba ya mshkaji anaitwa James na shuleni pale anajulikana kwa tabia chafu chafu tu........alikua rafiki yangu Abeid aliyenipa Story za Habiba.

        kama kawaida ziliingia sikio hili zikatokea sikio lile,hazikunugusa kabisa kwani pamoja na kugundua kuwa alinidanganya kuwa yeye ni bikira lakini sikufanya pupa ya kuharakisha kumtema kwani alishaniingia akilini kiasi cha kumuona kila asemaye kitu juu yake ni muongo tu.

    siku ilifika na mimi ikabidi niende kijijini kusalimu wazazi,sikusindikizwa stand pale ubungo nikaona hakuna shida kwani inawezekana yupo busy.

          Kwakweli Habiba alinipenda sana kwani haikupita dakika bila kupata sms yake au kupiga simu.Huwezi amini kama alitumia zaidi ya sh laki moja kwa siku 3 kwa aajili yangu mimi K choka mbaya.

        Sugar.............kama alivyozoea Habiba kuniita,nimechoka kulala na wewe Guest house na nataka utafute chumba upange mtaani mimi nitanunua kila kitu cha ndani ili niwe nakuja huko muda wowote ninao jisikia.

            Mwaka wa pili sasa nipo na Habiba na mapenzi yamekolea sisikii na mwadhini wala la mnadi swala.Siku hiyo akaja Habiba getto........nilikuwa nimelala mchana sina hili wala lile...akagonga na kuingia ndani,kisha akalalamika sana juu yangu na lawama zile zilikua uongo mtupu.Akanipiga kibuti na kuning`ata kifuani kisha akaondoka.

        Moyo uliniuma sana na sikuona haja ya kumtafuta tena Habiba.nilikufa kishujaa kwa kumpoteza demu nilimpenda na kukumbuka hadi kibao tulizoweka za ndoa na mambo mengi ya maisha.Nilimshukuru kwa sms siku moja kwa wema na matunzo aliyonipa japokuwa hakujibu sms yangu na haikuwa shida kwangu.

      Leo yupo na Ally kesho na Hassan.Ikawa ndo tabia yake hiyo na hakuogopa hata ngoma.

      nilikaa kama mwaka na nusu bila kuwa na demu kwani nilikuwa natamani sana Habiba arudi kundini na angefanya hivyo ningempokea kwa sharti kwamba tukapime ngoma.

        Nikiwa disko ndani ya ukumbi mashuhuri sana east africa siku ya alhamisi kwa wale wenyeji wa Bills mnajua mambo ya ladies free,nikakaa juu nikiwa na chupa yangu ya maji ya kilimanjaro....itabidi hawa jamaa nao wanilipe kwa kutangaza biashara yao.
Basi walikuja madem kibao pale nilipokaa na wakawa wanakunywa konyagi.

        Sikua na nia nao kwani nilifuata muziki na nilikuwa sina hamu na demu yoyote.........Unamind kutupa kampani kaka?aliuliza mmoja ambae hata kabla sijajibu alisema anaitwa Zainabu ila anapenda kuitwa Zai.Bila shaka mrembo nilijibu....akasema anataka kumtambia ex wake so nikacheze nae.Mimi najua mambo ya disko ahalafu vurugu za wanawake sipendi.....nikamjibu ....siwezi kufanya hilo kwani igomvi unaweza tokea na mimi sipendi ugomvi.

            Baada ya muda nikaagiza konyagi mizinga mikubwa 3,tukaendelea kuburudika na hakuna alieamka kucheza.tukabadilishana namba za simu na kila mtu pale mezani.Moyoni nilihisi Zai ni mzuri na anaweza kunifanya nimsahau Habiba.

      Sekunde chache lilipigwa songi la 2pac liitwalo LIFE GOES ON   na mimi nalipenda sana hasa kutokana na maneno makali na ujumbe wake,sikusita kuamka na kuanza kulicheza.Ghafla alikuja Zai na kujiunga nami..............kama Dj alijua sasa kijana nataka nini mara akarusha bolingo na sekunde chache akazima taa na kuwasha romantik lights za kijani na nyekundu..........akarudisha wimbo wa lost boys wa me and ma crazy world kishaakashusha kitu My all.........kilicho fuatiwa na solidad kisha akatutuliza na My love zote za westcoast.

        Nakupenda sana K na natamani tuwe wapenzi,nimevunjika moyo kwa mtu niliempenda sana na nahitaji msaada wa haraka kutibu majeraha yangu.Tuliongea mengi tukiwa tunacheza mwisho tukaona muziki haufai tena

        Mimi naishi hapa Zai na sima demu........mengi zaidi utayajua taratibu ila saa hizi ni saa 11 na ukipumzika kesho utaenda chuo kama hutajali lakini na kama utataka naweza kukutafutia usafiri nikakupeleka chuoni sasa hivi....nilijaribu kumuonyesha Zai kwamba mimi simlazimishi kulala pale anaweza timua kama anataka.

          Asante sana K sikutarajia kama unaweza kuwa mstaarabu hivyo,yani tumelala kitanda kimoja na hukunibaka?samahani kwa kukukatalia kufanya mapenzi na wewe kwani ni leo tu tumekutana.Pia samahani kwa kuondoka bila kuaga nadhani note yangu umeiona nina test j3 so najiandaa na test kisha j4 ntakuwa na wewe.alikuwa ni Zai akiongea nami kwa Simu.

        K...........K........nakuita K usinichunie,samahani kwa kukuita kwa nguvu.Huyu anaitwa Sunday ni mpenzi wangu........Sunday huyu ni kaka yangu anaitwa K......alikuwa ni Habiba akinitambulisha kwa mwanaume wake kama wa 6 hivi sasa.Nilikuwa pale steers napata Juice nikaona juice ile ya passions kama limao.

          Unapendelea nini hasa mrembo?nilimuuliza Zai tukiwa tumelala kitandani kwake pale chuoni.Mimi napenda sana soka na muziki na napenda sana mpenzi mkweli na mwaminifu.
Sasa tumekuwa wapenzi kwa muda mfupi lakini ni kama tuliojuana kwa miaka mingi,kinachonikera bado ni maringo na majivuno ya Habiba asitaka kuacha kunionyesha idadi kubwa ya wanawake alionao.

  Zai mimi nitampiga Habiba leo maana naona tayari ananivizia,si unamuona pale ufukweni?na tayari ametuona sasa angalia leo....nilisema nikiwa nimedhamiria kabisa leo kumdunda Habiba kama ataleta maneno ya kejeli na kashfa.

    Hahahahaha!baba watoto,kama alivyozoea kuniita Habiba,usijaribu kufanya hivyo...ukicheza na mjinga watu watakuona mjinga so kuwa kimya na usijaribu kushindana nae.Yalikuwa ni maneno yaliyopenya barabara kwenye masikio yangu bila kupotea neno hata moja.


        Nikiwa safarini naelekea Morogoro nakutana na mtu nisiemkumbuka kabisa na akanisalimu,...habari yako K,bila hiyana nikajibu salama Bro na wewe vipi?
lakini alijua wazi nimejibu kibinadamu kwani aliweza kuisoma sura yangu iliyoonyesha mshangao mkubwa.

    Nimekumiss sana mpenzi na natamani sana kukuona kwani sasa ni wiki ya pili na sijakuona jamani.Alikuwa ni kipusa wangu Zai akisema maneno hayo yenye kuamsha hisia kali kwenye ubongo wangu.nikiwa naonge a na simu hiyo nikapata mshtiko kusikia simu ya hotel inaita.

    Habari bibie,ni mhudumu wa hotel ambaye alisimama mbele ya mlango nikimsabahi wakati Zai bado yupo katika simu akiongea na mimi.Masikini ya Mungu kumbe ningejua nisingeongea naye kwani Zai alishahisi kuwa nipo na mwanamke na nimelalanae na hakutaka msaliemtume tena.

    Wanawake bwana wana visa sana kwani siku hiyohiyo Zai na Habiba walikutana pale Fire wakiwa na safari zao tofauti,wakasalimiana vizuri na kupeana michapo hii na hile.....yule jamaa ni malya sana na hana mpango kabisa,Yani mimi alinifanyia unyama sana na sikutaka msalie nikamtema mimi..alikuwa ni Habiba akimwambia Zai story zake za uongo ...Zai nae hakusita kumuhadithia Habiba juu ya mkasa wa simu na ndipo shetai kisirani wa uongo na wivu akachukua nafasi katika moyo wa Zai na kuamuna kunitenda.

      Nikiwa sijui hayo yote mimi K.nikatuma sms kwa Zai kumjulia hali na kumtakia siku njema.Si kawaida ya Zai kuchelewa kujibu sms yangu,mara nyingi kama yupo busy sana hujibu hata sms fupi tu.Nikajipa moyo ah labda yupo mbali na simu.

    Siku ya 3 leo hakuna sms wala nikipiga simu haipokelewi,nami nikaamua nikae kimya kwani nikahisi tayari amechukia sababu nilisema karibu bibie nikiwa na mkaribisha mhudumu wa hotel.Sijui alifuata nini jamani yule mhudumu ...na nitamshawishi vipi Zai aamini kwamba nilikuwa peke yangu pale morogoro jamani.

      Wakale walisema hasira za mkizi ni furaha kwa mvuvi kwani siku ya 8 niliamua kutumia simu ya best yangu kumpigia Zai,alipokea na aliposikia sauti yangu aliamua kukata simu.Nikaanza kumtoa taratibu moyoni mwangu na kuanza maisha mapya nikiwa na chuki sana na wanawake.

        Mapenzi huuma sana hasa ukilazimishwa na umpendae sana kuwa na hatia kwa kitu ambacho hujafanya.Au pale umpendae anapoamua kuwa rafiki wa adui yako hasa baada ya kukutesa sana moyo wako.Ndivyo ilivyotokea kwangu kwani Zai aliamua kurudiana na Boyfriend wake wa zamani ili kupunguza machungu aliyonayo moyoni....

  Siku moja nikaamua kumuandikia barua Zai nikijua hakuna jibu nitapata ila nikitaka kuweka wazi mambo aliyoniamulia kuwa mashtaka mbele ya penzi langu kwake.....niliandika hivi...

    Zai,niliyekupenda sana na kukujali zaidi ya nilivyojijali mimi....amini sina hatia yoyote juu ya safari yangu ya morogoro.Na sina kinyongo juu ya uamuzi wako ambao uliufanya kwani kama ni kosa basi kila akosae husamehewa na sioni sababu ya wewe kunisamehe kosa kwani sina kosa la kusamehewa.Nakulaumu pia kwa kupata ushauri toka kwa Habiba kwani Unajua wazi kuwa habiba hanipendi na amekuwa akifanya mambo mengiya ajabu juu yangu.............ikaendelea kueleza barua yangu ikiwa na maneno ya hisia kali   na kujiweka katika mazingira salama ya kutokuwa na hatia.

      Vipi mtu wangu mambo yanasemaje...alikuwa ni Rajabu best yangu mkubwa na rafiki mkubwa wa Zai.Alikuwa ameambatana na vijana wengine wawili wa rika letu na mzee mmoja ambaye nigindua alikuwa mpita njia tu.Karibuni jamani hapa leo ni pachafu unajua tena ubachela na hali halisi kwahiyo mnisamehe..niliwaomba radhi kwa hali halisi ya chumba changu.

    Huwa napenda sana wimbo wa Zali la mentali wa Prop J...hunikumbusha mengi kwani mimi namwamini sana Mungu na kila litokealo huwa naamini Mungu kanipa au kaniepushia kitu.
Nikiwa nimekaa maskani na wasela wangu wengine tu ..alikuja mama wa kizungu na kutaka mtu wa kubeba matakataka nyumbani kwake kwa siku ile na akasimama baada ya kuona vijana tumekaa bila kazi pale kijiweni.

    K man demu ametutuma tukuombe msamaha kwa aliyoyafanya kwani amegundua wewe si mchezo kaka.Msamehe bure tu na usimdhuru   kwani anahisi utamtenda kitendo ndio maana ana wasiwasi.Ohoooo kwahiyo anahisi nitamdhuru ndio maana anataka nimsamehe basi mwambieni kama kumdhuru ningemdhuru Habiba na sio yeye kwahiyo asitie shaka na mimi sina shida naye na hata akipiga nitapokea na akinitembelea nitakubali tu no doubt.

      Mama yule wa kijapan hakuwa anaongea kiswahili na alikuwa anaongea kiingereza...sasa maskani yetu pale wengi darasa la saba wakaongopa kuongea nae basi msela nikamwanga ngeli pale na mama akasema shida yake na nikasema nipo tayari kumsaidia.

      K anaenda wapi jamani hata kuaga..alisema jamaa mmoja akiwa na haki kabisa maana baada ya ile habari njema ya mshiko mimi niliamka na kupanda gari bila kusema bye kwa masela kana kwamba nilikuwa peke yangu...nitarudi kuwapa story na mshiko kidogo...nilijisemea moyoni.

    whats your name my son...aliuliza yule mama,Im called K and im living in this area.You speak a wonderful english and that impress me alot,yes mom im a form six leaver and i didnt get chance to join university because my parents doesnt have enough money so im looking for any means to live....niliamua kutoa dukuduku langu japo kwa woga kidogo na nilijua ni mapema pia.

        K mpenzi naweza kuja kwako leo?aliuliza Zai kwa hamasa ya kupata jibu,..no problem Zai you are free..nilijibu.Baba leo nataka nikujulishe kuwa nimeachana na Zabron na nataka turudiane.Ukinipokea this time   nitakuwa mwangalifu sana na sitasikiliza la mtu.alikuwa ni Zai akijinadi kama vile anataka kukopa kwa mwarabu.

      So here are the rubbishes and its up to you,you can burn them and clean the whole area and this will be your daily job as long as they   fall down from the tree.How much would you prefer?aliuliza yule mama wa kijapan.

      Mi msomi na kazi hii haiendani na elimu yangu ila silazi damu kwani Mungu amenileta kwenye neema na siiachii hata kwa shoka..anything you give me mom i will appreciate.anything? what do you mean boy?aliuliza yule mama kwa mshangao kwani sikupenda kutaja kiwango..unaweza kusema sh 2 kumbe yeye amepanga sh 200.
OK then you just do it and i will think ,....alimalizia yule mama baada ya kubishana kwa muda mrefu.

          Zai mimi sina la kusema ninachotaka kwa sasa ni kuwa na amani.Labda nikuulize swali..Je unadhani utanipenda kama mwanzo?mbona umerudiana na Zabron na mmeachana tena kwani ana nini kizuri ama kibaya ambacho mimi ninacho ama sina?niliuliza..ah unajua K ulichonacho na kitakachonifanya nikonde kukukosa na kitakachonipa wivu milele ni mapenzi yako kwani umenifanya niwe na wivu.Sawa Zai ila kwasasa niache kwanza nina mambo mengi yakufanya na ningependa nijue nini hasa unachotaka ..naomba nipe muda nitawasiliana na wewe.

    Kazi kwa mjapan nilifanya kama wiki mbili bila kuona coin kumbe yeye alikuwa anahesabu masaa tu na kukaa kimya,mimi sikuona sababu ya kumuuliza wala nini.Tommorow im going to airport will you accompany me?aliuliza yule mama,yes mama anytime you need me i will be there.

    Simu yangu inaita saa 7 na robo usiku,namba siijui nikaamua kupokea..haloo ni Habiba hapa hujambo?...mimi mzima Habiba mbona usiku sana mama?
K nimepata maswahiba makubwa sana,nilitaka kujifariji na wanaume ili nikusahau lakini nimeshindwa..you are my hero plz take back as your Girlfriend please.I miss you and i will never evr do such things to you again.

      Woaaaaaaaaa my Love i missed you alot...alikuwa ni yule mama akimlaki mwanae atokae america ambapo alikuwa anasoma huko na sasa amemaliza shule anakuja kumsaidia mama yake kwenye mradi aliouanzisha.This is K our house cleaner and he is educated   but he cant afford doing his further training so He is helping us   by the time.K....my daughter Hu...she is now joining me here to develop further our project..alimalizia mama yule..Feel at home sissy nilisema kwa Hu.

      Nikiwa mwenye kuwaza mengi labda hawa madada wawili wamepanga kunidhihaki au hawajui kama wanania zinazofanana nikasikia simu inaita....Halooo nilisema ,akapokea Hu nikaongea nae akauliza kama ninaweza kwenda kwao kwani ni mpweke sana.Mwanaume sikuwa hata naa koin ya nauli.Nikamwambia ukweli kuwa sina hata senti moja dada akasema nimeulekeze kwani anaramani anaweza fika hapo nilipo.

        Is this your room?has my mom never been here?Anyway show me the city if you have time..alikuwa ni Hu akishangaa ninawezaje kukaa kwenye chumba kimoja tena kuna kitanda na kabati tu alivyonunua Habiba.nilifkiri kidogo kisha nikamwambia amwambie mama yake kwa simu kuwa tunaenda mjini ili awe na taarifa tu.OK K ngoja nimpigie...mom,im with K and we will be going to visit different places in town....tell him to take you to mikadi beach at the end of the day ..alidakia mama Hu.

        Waliporudi jioni Hu alimuomba K wakale dinner wote kwao na hakukataa.Mom K will have dinner with us,what do you say?no problem Hu...K has been very generous to me and he is different from all Africans you see in town.But Mom have you ever been to K`s place?WHat if he live here with us,im sure will be nice to Him and simple to us.
Its a good idea Hu and i think that will help him and us as you said...alisema yule mama wa kijapan.

      Nikiwa nafanya maandalizi ya kuhamia kwakina Hu ambapo nimepewa bonge la chumba na kila kitu ndani,niliwaza pia sasa ni wakati wa kuwakwepa Zai na Habiba kwani uswahilini sitaonekana kwa sana sasa.Ghafla alikuja Hu huku akiwa na bahasha iliyovimba kana kwamba kulikwa na kamzigo kangu.

        Mama gave you this but i added sum to you..you are the hard worker and everybody at home apprecuates your work.....alisema Hu akinikabidhi barua ile.On top of tht i will make sure tht   you study and get nice Job while you remain the member of our small family.alisema Hu kisha akaondoka.

        Leo nitaenda kwa K kusikiliza jibu aliloniahidi....alikuwa ni Zai aliyewaza sana juu ya K na alifikiri labda sasa K ameshapata ufumbuzi na kujenga imani juu yake.

    Mimi Mungu ananipenda sana ngoja niseme sala kisha nifungue mzigo huu..MUNGU BABA MUWEZA WA YOTE,NIMEPITIA MISUKOSUKO MINGI YA MAISHA NA SASA UMENILETA KWENYE HALI AMBAYO SIKUITARAJIA.NAOMBA UNIJALIE UVUMILIVU NA ROHO WAKO ANIANGAZE NISIHARIBU UHUSIANO KWA FAMILIA HII INAYONISAIDIA...ONGEZA HEKIMA KWA AKILI YANGU NA NIONDOLEE TAMAA KATIKA MAISHA YANGU.NIFANYE KICHWA MBELE YA VICHWA NA NISIMAMIE EWE MUNGU WA MAJESHI...AMEN

      HATA WEWE UKISEMA SALA HII UTASHANGAA MIUJIZA ITAKAYO KUJIA NDUGU MSOMAJI KWANI MIMI NDIO SALA YANGU KUBWA LAKINI NIWAPO NA SHIDA NA KUPATA UFUMBUZI AMBAO SIKUUTARAJIA MIMI MZEE WA MAZALI YA AJABU NA MAZALI MAZURI.

    NIkafungua bahasha na kukuta kitita nilichokuwa nakihesabu bila imani,kwani nilihisi sikustahili pesa kama zile ...duh milioni moja Mungu wangu,Aligonga mtu nikaenda kufungu ahuku nikiziacha pesa zile juu ya kitanda,Karibu nilimkaribisha Zai.

      Leo ni siku nzuri sana na nahisi kumiss sana K,alisema Habiba kimoyomoyo....nitaenda baadae ili kumjulia hali na kutafuta suluhisho kwani ni mwanaume ambaye hababaiki kabisa na ulimwengu huu.

      K,unafanya kazi wapi siku hizi mbona naona mapesa yote hayo?aliuliza Zai huku K akiwa kwenye mawazo makubwa ya kukimbilia Bank kufungua akaunti na kudiposit pesa yote.AH nimefanya vibarua sana miezi hii kadhaa na ndio ujira wangu..nilikuwa nataka kwenda Bank sasa hivi sasa kama unaweza twende wote na tutaonge tukiwa njiani.

      I think K you dont need many thing with you in our house..afterall we are staying here for more three years and we will go back to Japan.We can still leave the House to you if you want to live in it.Alisema mama Hu huku akimwangalia mwanawe kwa husda.

    Habiba alifika nyumbani kwangu na kunikosa,alisubiri kama nusu saa bila mafanikio na kuamua kunipigia simu...ahh nipo mjini ninashughuli naona nitachelewa kurudi home leo.tuonane jmosi kukiwa na majaaliwa ..ok bye..nilimuaga Habiba kwa style hiyo.

      Zai mimi bado sijaamua na usiwe na wasiwasi jenga zaid mapenzi yako.NIlisema hayo nikiwa tayari nimemfia sana Hu na nilijua kwa dunia ya sasa lolote laweza kutokea kati yangu na Hu.Isitoshe sasa nipo karibu kuhamia kwao labda nitamvutia zaidi.

          NItampa Za muda wa kumchunguza japo sasa sitakuwa mitaani kwa sana ila nitapata mtu wa kunipa habari tu,Na Habiba nampenda bado lakini je amepima na lile lundo lawanaume lisije nitoa roho mimi.

      Huwa napenda sana kuweka hisa katika makampuni mengi ili moja likileta hasara moja linaleta faida so ngoma droooo.lakini waswahili husema ukiwamwongo uwe nakumbukumbu pia.kwahiyo kwangu mimi niliogopa kumkubali Zai na Habiba   kwani kama nikianzisha uhusianao na Hu nitahariku ile bahati ya mtende kuzaa jangwani.

    Nilihamia kwa kina HU sasa ni wiki ya pili na mambo yanakwenda barabara.Nikawa master wa Jikoni na usafi wa nyumbanzima kama house boy vile.nilifanya yote nikijua nafanya kwenye nyumba yangu na lolote nililowafanyia nilifnya kama namfanyia dada na mama yangu   kwa hiyo sikuhisi utumwa hata pale nilipofokewa nilichukulia ni kosa na nastahili kurekebishwa.

      Siku   moja nikiwa nawaza juu ya maisha ...mama alikuja na kuitisha kikao.Nikajua sasakunakitu nimeharibu na natimuliwa sasa.mimi kesho naenda Nairobi kwa mapumziko...nahitaji maapumziko haya peke yangu.Kama mtu anataka nae likizo basi aende nitagharamia mimi.alisema mama Hu akituaga.

        Kwangu ilikuwa sawa tu kwani mara nyingi uwepo au kutokuwepo kwa mama ndani ya nyumba hakukunizuia kufanya lolote kwakweli nilikua huru kuliko nilivyodhani.

      Leo twende disko alisema Hu alieanza kuongea kiswahili kama muhindi wa kariakoo.Hakuna shida nilimwambia.Tukiwa disko tulicheza muziki lakini Hu alikuwa anarukaruka tu style za ajabu..ajabu..nadhani kwao ni ngoma za kienyeji hizi.
You know K.....i have something for you here...alisema Hu huku akinishika mkono....an envelope but this time was not full was likely to be a letter.

        Nikafungua na kukuta vipisi 7 vilivyoandikwa maneno ya kijapan na mimi sielewi.ok K miminitatranslate hii lugha kwa kiswahili..sawa?aliuliza Hu ambaye nilizoea kumtania sana kama mke wangu vile.

      Labda nikwambie Hu alivyo....ni binti ambaye ukimuona ni kama halfcast vile..anangozi brown ilyoiva sana kama chotara wa kiafrika na kizungu.macho yake ndio yale macho ya nyigu mimi huita nayapenda sana macho haya.kaumbika vema haswa na anakamkia kidogo kama ka Jlo.ila mimi   nakwambia dada huyu namfananisha sana na Ashanti kiumbo na kisura amefanana sana na ciara.

      Nakupenda sana K na nakuhitaji sana mimi......kwetu sina boyfriend na sijawahi kuwa na boyfriend japo nimewahi kupenda wanaume kadhaa ukiwemo.Do you have a girlfriend?aliniuliza.....

      Umeshawahi kuoa au kuolewa kisha mumeo au mkeo akaenda vitani?baada ya miaka 5 anarudi akiwa ahankovu wala uvimbe na uzuri ndo umezidi?nadhani ni   furaha ya ajabu sana na mimi nilihisi furaha ya ajabu na kama Dj alijua basi akaweka wimbo wa Zali la mentali.......kisha akatushusha hadi bondeni kwa mandela...akatupa bolingo kadhaa toka kwa fm akademia na kijana huyu best yangu Allan mulumba ambaye ni solo srtist kwa sasa.

    NIlimjibu Hu maiu nijuayo mimi usitake kujua.Tukiwa tumezama kwenye maromance mazito nilishangaa kuona msela wangu wa kijiweni akinigusa na kusema K vipi kaka?!!!
Ah Mudi vipi...shemeji yako huyu anaitwa Hu.Hu my best friend Mudi.karibu kaka upate bia kadhaa nasi kaka....Mudi alioda bia ila mimi nikijua atakuwa balozi wangu mzuri baadae nikamuagizia chupa ya red wine.

        Nipo na Hu nyumbani kila mmoja anamuogopa mwenziwe...I will sleep on your bed today alisema Hu..nikataka kuhakikisha kama kweli ni Bikira huyu binti.Bsi tukaanza na romance saaaaaaaaaaaaaana tu kisha nikamvua nguo zote taratibu sana.nilipomaliza nikavua na zangu kisha nikamkumbatia.Kila nilipojaribu kumvua ch%%%%p nilishindwa kwanialihema kama anakimbizwa na jasho kibao japo kulikuwa na kiyoyozi.

            Kila nilivyojaribu alisema no K it hurts bwana les do it kesho..but mimi nikawa na hamu ya tunda...nikakumbuka triki niliyotumia kwa Zai siku moja basi nikaanza kuiapply triki ile
Nilitumia muda mwingi kumshawishi Hu akubali tulibanjua tunda lakini nilikwama...nikawa kama nitungae sheia bila katiba.nikakata taama maana alipiga kelele nyingi japo hakuna mtu aliezisikia,nilihisi kumpa maumivu makali sana

Nikaanza kumapa story juu ya wanawake wanao tolewa uke wao na polepole akawa ananitegea sikio
Niliendelea kumlaghai kwa hadithi hii na ile kwa mafanikio makubwa na nikapata nafasi ya kumuweka kando kabisa ya kitanda ukutani.Nikambana miguu na kutaka kushuka nguo yake ya ndani lakiniakawa na nguvu sana nikaichana na kubaki nayo mkononi

Sasa akawa kamaalivyozaliwa binti huyu mzuri zaidi awapo mtupu.yaliyoendelea yakawa ni kama kumlisha nyati pumba kwani nilitumia masaa takribani sita kuweza kutimiza malengo na kufunga goli la ushindi.

Mama Hu alituita na kutuambia kuwa siku za usoni ataenda likizo na anahitaji kupata nafasi peke yake na sisi tukasema tutabaki home bila shida yoyote.

Ndivyo tulivyoanza uhusiano wetu huu wa kimapenzi na ikawa kila Hu aliponikumbuka usiku alikuja chumbani kwangu bila hofu yoyote na tukala tunda.Ikawa kamchezo kalikonoga na hakukuwa na presha yoyote.

Hu,nilikuwa na mpenzi wa kwanza aliyeitwa Habiba,huyu nilimpenda sana na nilimthamini sana kwakuwa alinisaidia kimaisha pia.Kwa bahati mbaya aliniacha nikiwa na mpenda sana na sikuwa na lakufanya.Pia alinifanyia mikasa mingi ikiwepo kunionyehs wapenzi wake na kunitukana sana.

Wa pili aliitwa Zainabu,naye aliniacha katika mazingira magumu sana na ndipo nikakutana na mama kanipa kibarua hapa nyumbani na hatimaye nipo na wewe
kifupi haya ni maisha ya mapenzi nilioishi mimi na hakuna nilichokuficha mpenzi.

Baada ya mama Hu kurudi aligundua tabia ya Hu imebadilika na hata siku moja usiku alikia kelele za kimapenzi kutoka chumbani kwangu,akaenda chumbani kwa Hu akamkosa na akagundua sisi ni wapenzi.Hakutaka kuingilia mambo ya Hu hivyo akatulia nakumuacha mwanae aliwe na K.

Siku moja laimuuliza mwanawe,Hu ninikinaendelea kati yako na K?mama K ni mpenzi wangu na nina mpenda sana K...na ananipenda sana na nadhani ndie mtarajiwa wangu mama...alijbu Hu kwa kujiamini sana mbele ya mama yake.

Wanangu kueni makini na waaminifu kwa kila mmoja..mapenzi ni zawadi toka kwa mwenyezi Mungu na mtumie muda wenu vizuri kwani mnaweza kuwa mnapotezeana muda tu bila kujua.sikatai nyie kuwa wapenzi bali nawabariki muwe mke na mume..alisema mama HU.

Nikiwa nawaza bado juu ya Habiba na Zai,niliomba ruhusa niende kijijini kuwasalimu wazazi wangu na ndugi pamoja na jamaaa zangu.Mama alikubali na kuuliza kama nitaenda na Hu.Hapana mama kijijiniakuna shida nyingi kwa sasa.hakuna maji safi wala umeme na kuna mbu sana.wakati mwingine nitaenda na Hu ili akakuone ila nikisha weka mazingira mazuri.

Nilienda kufanya shopping ya mahitaji yote ili niwapo likizo wasipate shida ya kwenda sokoni,nikachukua gari ili nikabebe vitu vingi.
Njiani nilikutana na Jacob rafiki yangu mkubwa na rafiki wa Habiba pia.Huyualiambatana na mimi kwenda sokoni.

Kaka naona nyota inazidi kuwaka kaka..alinitania Jacob...maisha tu nilimjibu Jacob huku nikicheka kidogo kwa furaha maana nina jua nilipotoka na kuendesha gari kwangu ilikuwa ni ndoto ya alinacha.

Tukiwa njiani nilimuona Habiba na kusimama,twende Habiba ...nilimwambia na alishtuka kuniona nipo ndani ya ndinga nikiendesha.Naenda sokoni mara moja naomba ukatusaidie kuchagua vitu bibie.Bila hiyana alikubali kwai Habiba alijua atatumia nafasi hii kunirudisha katika himaya yake.

Bila kutarajia nilikwepa maswali yake na kumuomba nikutane nae pale ghetoo siku ya alhamisi ili tuongee vizuri juu ya swala hili.Akakubali na tukamwacha pale tulipomkuta na mimi na Jacob tukaenda zetu hadi maskani na Jacob nae akashuka.

Nikiwa kijijini watoto na wazee wengi walionifahamu walishtuka kuniona na gari kwani mama alinipa gari niende nalo kijijini kusaalimu wazazi.NIliwapa wazazi pesa na wakanipa zawadi za kurudi nazo mjini.Kama haitoshi wakanipa na baraka kibao mimi mtoto wao ili mambo yaende vizuri mjini.

Alhamisi tayari nilikuwa mjini na ndio siku nilipanga kukutana na Habiba ili nivunjilie mbali uhusiano wetu kwa kutaka asijisumbue kuweka imani juu yangu,nikiwa nimepaki gari maskani,nilipiga stori na jamaa zangu kisha nikawapa na pesa kidogo wagawane.

Ghafla alipita Hu na gari akienda matembezini na aliniona pale akasimama na kuuliza,...nini tena kimekusibu darling..hapa ndio kijijini?nilimwambia Hu kwamba nimekuja kununua mahitaji ya kijijini na nilitaka kuja home kumjulia hali pia.Aliridhika na kunibusu kisha akaondoka.

Mama nimemuona K njini akiwa na rafiki zake..isije kuwa anampenzi huko mjini na ananiölaghai mimi..alilalamika Hu kwa mama yake.Mwanangu huo ni wivu ambao kila binadamu anao...ni kwaida kama mtu akiwa na mpenzi basi hufikiri mengi juu yake na usihofu maadamu hujamkuta na mwanamke,basi amini aliyokwambia ni kweli.

Nilimkumbuka sana Zai pia na nikaona nimpigie simu ili naye aje,akakubali kuja na nikaenda sasa pale ghetto ili nikutane na wapenzi wangu wa zamani.

Wa kwanza kufika laikuwa ni Zai ambaye alikuja na rafiki yake alikuwa na shauku ya kuniona mimi,niliwakaribisha kwa kuwauliza watatumia kinywaji gani...wakadai wanataka bia.Bila shaka mmepata bia na kitu kingine labda?niliuliza..maji tu ya kunywa honey alijibu Zai.

Basi tukapiga hadithi hii na ile huku tukicheka sana na moyoni nikaingiwa na roho wa huruma juu ya Zai ambaye kwakweli alikuwa mpole sana siku ile huku akiwa makini sana na maneno asemayo.Nikiwa nataka kuvunja jungu kama watu wa Tanga wasemavyo..nikasikia mtu anagonga.....bila kusubiri aliingia kama anataka kufumania vile na huyu hakuwa mwingine bali ni Habiba.

Karibu sana Habiba naona na shoga yako Zai yupo,NIkusaidie kinywagi gani tafadhali?..nilimuuliza Habiba huku akiwa anamshangao mkubwa juu ya Zai.

Hu na mama yake walipanga mengi juu yangu,walipanga nitakaporudi toka kijijini basi wiki inayofuta nianze chuo pale IFM nikiwa nasomea management.Sikujua hayo maana ilikuwa ni mipango yao na mimi kazi yangu ilikuwa kuhakikisha nafanya vizuri katika masomo ili nisiwavunje moyo wafadhili wangu hawa.

Mpenzi huyu pia laipanga mipango mingi ya maisha yetu na mama yake ikiwemo ule wa mama yake kurudi Japan ili sisi tuendeshe mradi na kumlea mama.Sikujua yote hayo mimi nilibaki kama sehemu ya tatu ya maongezi ambayo haipo na inahitaji taarifa tu.

Nilianza kwa kuwaomba radhi kwa kupoteza muda wao kuwaita pale kwangu.KIsha nikaomba radhi kwa kuchukua muda mrefu bila kujibu hoja zao.Sasa jamani mimi sina mengi sana ya kuwaambia ila nina wapenda wote na nashukuru kwani kila mmoja amemuheshimu mwenzake.Isitoshe nyie ni marafiki sasa ningependa mnisaidie nani awe na mimi na nani atoke patupu.

Pia nisingependa kumuangusha mtu bali ningependa mjiangushe wenyewe kwani ningeomba kila mmoja atoe sababu ya yeye kuwa nami mbele ya mwenzake na sababu itakayokuwa ya muhimi basi ndio itamfanya mtu huyo awe mpenzi wangu na hatimaye mke wangu.

Alianza Zai ambaye kama ni kurudiana basi huyu ndie aliyestahili kwani pamoja na kasoro zote alisema haya yafuatayo;-K...mimi nakupenda na nilishakuomba msamaha kwa yote niliokufanyia,kumbuka hakuna binadamu aliye sawa na hakuna kosa lililokubwa kuliko mengine.Hata wewe unaweza kumkosea mtu yoyote na ukiomba msamaha unatarajia kusamehewa.hivyo naomba nafasi nyingine niwe wako mwandani na naahidi sitokutenda kamwe.

Maneno haya yalikuwa kama mwiba wa mlimao katika moyo wangu na nikaona kuchinja kobe yataka timing na nikizubaa nitachemka mapema sana.Kijana mmoja namfahamu alukuwa anapita nikamwita na kumuomba aniletee mzinga wa konyagi.

Baada ya ukimya wa kama dkika tano hivi,nikasema asamte sana Zai kwa maneno yako mazuri na nimeyasikia na ninayafanyia kazi,lakini nibora nisikie maneno ya Habiba kwanza kabla sijaamua.

Mimi sioni sababu ya kulazimisha mapenzi...alianza Habiba kama kawaida yake.Na kama ulituita hapa tugombane ssa hatujagombana na mimi siwezi kujinadi mbele yako.Kwani unanini cha ajabu ambacho wengine hawana?aliuliza Habiba.

Kama unanipenda nipende na kama hunipendi niache sioni sababu ya kukuganda sababu siki hizi mambo yako safi.na ukiniacha urudishe kila kilicho changu na uanze kivyako kaka wee....usitubabaishe na visenti vya mjapani hapa.Alimaliza Habiba kwa hasira na jazba kali.

Niliamka na kutoka nje nikachukua simu yangu na kumpigia Hu.naomba uje hapa ghetto nina jambo muhimu sana Hu...lakini usimwambie mama juu ya kuja kwangu mwambie unenda mjini mara moja.tafadhali Hu dakika chache nataka kukuonyehs kitu kitakacho kufurahisha milele.

Jamani naombeni dakika chache kidogo niwaze na kuwazua juu ya suala hili.Huku Zainabu akiwa na matumaini ya ushindi,alipiga vigelegele moyoni ...masikini hukujua nini kinafuata

Karibu Hu boss wangu,Huyu anaitwa Habiba na nimeshakwambia habari zake.....nampenda sana bado na huyu ni Zainabu pia umesikia mikasa yake na yeye pia nampenda sana.Unamatatizo gani K?hapa ndio kijijini?mbona unatudanganya wewe mimi na mama?

Anyway i love you K...hii ndio njia ya Hu kumaliza hasira zake.Ok honey twende home sasa kuna mambo mengi sana yanakusubiri wewe tu.alisema Hu akiwa na haraka na aibu mbele ya Zai na Habiba.

Nadhani mmemuona mke wangu mtarajiwa na wote siwataki.........nilitoa kauli hii fupi na yenye ncha kali za misumari ndani ya mioyo ya mabinti hawa.

wakaanza kupiga kelele kwa vilio vya ajabu....mimHabiba nitamiss sana kilele...ulinifikisha kileleni na hakuna mwanaume aliyewahi kunifikisha zaidi yako...nitakukumbuka sana K

Zai yeye aliishiwa nguvu na kusema ni kweli Habiba hata mimi nilikuwa namiss hilo...wanaume wengi niliowahi kuwa nao walinichezea na kuishiwa nguvu mapema,lakini K alinifikisha kileleni.nitakukumbuka sana K

Tuliondoka eneo la tukio mimi na Hu tukarudi nyumbani.mama alishangaa kuniona na hakujali kujua tulipotoka.Baada ya miezi 3 tulifunga ndoa na Mama akarudi Japan.

Nilimaliza chuo na kupata degree yangu na nikawa Director wa kampuni tulioanzisha mimi na mke wangu na sasa mke wangu anamiliki mradi alioacha mama yake na mimi ni Director wa kampuni hii yetu na tuna deal na research katika bahari ya Hindi.

********KILELENI*****KILELENI********KILELENI******

lEO NIMEPATA BARUA toka kwa Habiba,akisema anamiss sana kufika kileleni na nikiachana na Hu yupo radhi kuja kwangu tena.Anasema wanaume wengi wanamfikisha karibu na kilele au wanamuacha akiwa baridi kabisa.

Zai amenipigia simu na nilipopokea aliishia kusema KILELENI...KILELENI ....KILELENI KAMA DAKIKA KUMI HIVI NIKAKATA na anaendelea kunitumia sms zenye maneno hayo hayo......Nikirudi nyumbani Mke wangu Hu naye ni utani tu kwani ananiita kileleni...ama K-kileleni.na anataka mtoto wetu wa kwanza tumuite kileleni.

bye bye bye

*******************kileleni***********************
Get me outta here!
Video Codes | Minneapolis Lofts | Myspace Layouts