Stay Signed In
Do you want to access your site more quickly on this computer? Check this box, and your username and password will be remembered for two weeks. Click logout to turn this off.
Stay Safe
Do not check this box if you are using a public computer. You don't want anyone seeing your personal info or messing with your site.
Siiiiiiiii aaaaaaah hapo hapo usitoe jamani suuuuuuuuu aiii mh mh ah lione kwanza huku akibana pua ..alikuuwa na Tatu huyo.Aliyekufunza mapenzi ni bingwa na kama ni asili yako basi sitokuacha milele.maana nimeshatembea na wanaume lukuki lakini wewe kiboko jamani Shariff.Alikuwa ni mrembo Tatu rafiki yake mkubwa Lilsun.Baada ya starehe ile tulienda kuoga huku wote tukiwa tumechoka sana.Mimi akili yangu ilikuwa inawaza nikapate angalau supu ya mkia pale magomeni mapipa kwa mchaga maarufu Shirima...Basi twende wote sweetheart..alisema Tatu huku tukiwa tumeshikana mkono kuelekea mpilipili Bar kwa Shirima.
Kufika tulimkuta Shirima akiwa busy sana na upishi wa kuku,chips na makanyagio ya wanyama mimi hupenda kuyaita makongoro.Habari kaka..alinisabahi Shirima huku akinipa mkono na pole ya Ajali niliyopata kule Ughaibuni.
Inakuaje kaka upo na huyu kicheche?aliuliza Shirima ambaye alishangaa kuiona na Tatu ambaye kilamtu alijua ni shankupe lililoshindikana toka sinza hadi kimara.Ndipo nilipoanza kumpa story nzima kama ifuatavyo...........
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Anaitwa Tatu,ni binti aliye umbika haswa.Alisoma sekondary ya Jangwani kidato cha kwanza hadi cha 5.Akiwa kidato cha Tatu alipata rafiki mzuri aliyehisi yeye,huyu aliitwa Lilian.Tatu alikuwa mtoto yatima aliyelelewa na bibi yake ambaye alijishughulisha na biashara ndogo ya kuuza ndizi kariakoo.Katika maisha yake ya shida,Bibi huyu alifanikiwa kupata mtoto mmoja tu autwae Fatma na alifariki akiwa na umri wa miaka 42 kwa ugonjwa ambao hakuna aliye utambua.
Tatu aliishi na bibi yake muda wote huku akienda shuleni kwa miguu kutoka Boma shule hadi Jangwani,Bibi yake alikuwa na jukumu la kutunza watoto wapatao watao alioachiwa na marehemu mwanane.Haikuwa kazi rahisi kwa Tatu kutembea kuelekea shuleni kwani mara chache sana alipanda daladala tena kwa ufadhili wa rafiki au itokee siku hiyo anaamua apande kimazabe ..yani anapanda daladala kisha kondakta akimuuliza nauli yeye anasema sina akishushwa anapanda jingine.
Makondakta wengi wa daladala walishamfahamu sana Tatu na wengine walimsaidia na wengine walimshushia kibano hevi Tatu.Siku moja akiwa anatoka shuleni,Tatu alipanda daladala akiwa hana hata senti moja,huku akiwa na njaa sana na amechelewa nyumbani kwani ilikuwa nia kajira ya saa 3 usiku.Daladala ile ilikuwa haina abiria bilashaka ilikuwa inaelekea kuwekwa bandani kwaajili ya siku ijayo.Kondakta alimuuliza ..Mrembo unanauli?Tatu alijibu sina kaka naomba unisaidie tu.natoka jangwani hadi hapa nikaona nipande tu samahani kaka naomba radhi.alisema Tatu kwa huruma kubwa sana.
Kama ambaye si binadamu wa kawaida kondakta yule alimshushia matusi mazito kisha akamwambia dereva ..ee bwana ee tukatoe usongo wa miezi kadhaa nini leo?aliuliza konda huku wakiwa wawili na watatu ni Tatu.Ghafla vioo vyote vilifungwa na gari ikaanza kuchukua mwelekeo wa keko.Tatu alishangaa kuona gari inaongeza mwendo na hata alipopiga kelele hakuna aliyemsikia.Walifika sehemu ambapo hakuna makazi ya watu karibu wakamkamata vizuri Tatu na kumbaka sana hadi akapoteza fahamu.
Hakuwahi kumjua mwanaume Tatu na hivyo alipata maumivu makali sana na waliondoa gari yao pale wakimuacha Tatu akiwa hana fahamu.Nilipokuwa naendelea kumpa hadithi hii shirima supu ilikuja nikaanza kupapusa mifupa kama fisi huku nikifurahia supu hii ya Shirima kama kaiwaida yangu kuipata kabla sijaanza mizunguko.
Mtaani alipoishi Tatu alihamia kijana mmoja aitwae Shija.huyu alikuwa si kijana mzuri kwani alitoka mtaa mmoja uitwao shikaadabu kule vingunguti na alikuwa na tabia ya kuhakikisha kuwa anamaliza wasichana wa mtaa mzima.Shija alifika mtaani na kukuta warembo wengi,akiwamo Tatu ambaye alikuwa ni kama anaongoza mtaani kwa urembo.Jamani huyu kaka namfahamu mimi alisema Lilian ambaye ni rafiki wa Tatu.ametimuliwa vingunguti kwa umalaya na hapa madada mchunge sana....wengi wasichana walimjua Lilian kwa umalaya na walijua si mkwqeli labda anataka kumteka akili yule kaka ili asibanane na wenzake maana kaka yule alikuwa na gari ya kutembelea na mambo yake yalionekana kuwa si mabaya.
Lilian alimshawishi sana Tatu ajiunge nae na alifanikiwa baada ya kuweza kumlaghai Tatu kwa pesa..unaona..mimi sitegemei pesa ya wazazi,mimi nikitoka hapa nacheza deal halafu nakula mshiko shauri yako ukizubaa,alikuwa ni Lilian akimpa mawaidha potofu Tatu.
Shija alianza vimbwanga vyake baada ya kumuona mama mmjoa akiwa na mkia wa kufa mtu.Mama huyu ana binti kama wanne hivi halafu wote ni kama yeye.Binti wazuri ajabu na mama ukimuona ni kama anamiaka ishirini wakati ni mama wa miaka 51.Shija alianza kwa style yake ya kushtukiza kwani alimtokea yule mama kisha akawa anakula vitu kiulaini.kila mara alipofanya mapenzi na huyu mama Shija alivaa shanga moja kiunoni..alifanya hivi akijua nini anafanya.
Siku moja yule mama akiwa na wenzake wana sukana,alianza kuhadithia umbeya wake.Jamani Shija mwamjua?alianza mama yule..basi natoka naye sikuhizi.
anamakubwa kijana yule maana si madogo.kama kawaida ya wanawake umbea basi alihadithia anavyompa shughuli kitandani hadi anafikia hatua anamuona mumewe kama kima tu.Kijana anavaa shanga kiunoni basi nikamvalia saba mimi..alisema mama yule.Wenzake walikaa kitako na kuacha kusuka kwani lilikua kundi la mashankupe walioshindikana mitaani.Sijui ndio wanaitwa mashuga mami au mashangingi mimi sijui bwana.
Basi wenzake waka wa na hamu ya kuona mwanaume avaae shanga kiunoni.Akala mama wa pili Shija ila safari hii akava shanga mbili.Ikawa ndio tabia yake kila alipokula mwanamke mpya anaongeza idadi ya shanga zake kiunoni.
unajua nini...bado siwezi kukaa sana maana naona dalili zote za maumivu tena kuanza basi hadi muda mwingine watu wangu....
big up to all
Wakiwa wamekaa siku moja wanawake wapatao kama tia walianaza kupeana michapo juu ya kijana Shija.mmoja wao akaamua kutoboa kilicho moyoni mwake kwa kusema amemuona Shija akiwa na Lilian na Tatu..basi ikawa gumzo kubwa lililoishia kwa wakina mama wale kutupiana makonde mazito.Yule bwanaangu mie alisema mama Aziza huku mama Rama akidakia hujui wewe...kwani unajua anashanga ngapi kiunoni?basi ikawa tafrani liloishia polisi.
Huyu ndie Shija ambya sasa anaembea na Ta tu binti wa miaka 21 asomae form five pale Jangwani high school.Uhusianao wao unadumu kwa muda sasa na Tatu anajigundua kuwa mjamzito na kwa asilimia mia anajua ni Shija ndie aliepa ule mzigo.Aliwaza sana ni vipi atamwambia Shija kwani alumuogopa sana ukiachilia mbali kwamba walikuwa ni wapenzi,Tatu alijua wazi kwamba Shija anatembea na mamama kadhaa pale mtaani lakini maadam alipata senti mbili tatu za kujikimu basi aliamua kutulia ili asipoteze malengo na chaneli ya senti hizo.
Honey nina ujauzito wako.Tena ni wa miezi miwili na kutoa sitaki.AH kama hutaki kutoa basi poa hakuna shida nitautunza tu.alijibu hivyo Shija na yakawa maneno yafaraja sana mbele ya Tatu.Lakini shija moyoni aliwaza mengi,aliwaza ni jinsi gani ataepuka kifungo kwani Tatu ni mwanafunzi na lazima ataambiwa amlete aliyempa mimba.Ningejua ningemkana..lakini mtaa mzima wanajua mimi na Tatu ni wapenzi ..kazi ipo...alijisemea Shija huku akipanda kitandani.
Asubuhi yake shija hakuona umuhimu wa kusubiri kiama kwani alisha paki vitu vyake kwenye garu usiku ule ule na aliamua kwenda kijiji cha mbali kwa miezi saba kisha atakuja kwakujificha kujua hali ya tatu.Ilipotimu saa kumi na moja asubuhi,tayari Shija alikuwa maeneo ya bagamoyo akielekea vijiji vya mbali kabisa.
Mimba ya Tatu iliendelea kuwa kubwa na akatimuliwa shule...mwalimu wake alimwambia atafunguliwa mashtaka yeye kama asipomtaja aliyempa mimba na Tatu akaeleza yote kuwa aliyempa mimba alikimbia na hajui alipo.Taarifa hii ilifikishwa polisi na hadi kesho Shija hajaonekana na natoa tangazo hili kwa yoyote atakae muona Shija atoe taarifa polisi na atapata zawadi nono.
Maisha ya Tatu yaliendelea kuwa magumu na akaanza kuonyehsa dalili za kuleta kiumbe mgeni duniani.Mtoto wa kiume alizaliwa akiwa amedhoofika sana.Nadhani ni kutokana na ukweli kwamba mama yake alikuwa hapati mlo sahihi na alikuwa anaugua ugua magonjwa kila kukicha.Baada ya siku nne mtoto yule alifariki dunia.
Tatu hana hata cheti cha kuonyesha mahali ili apate kazi,ana cheti cha form rour na kila akienda kwenye ofisi anapewa ahadi za uongo na kutaka ahonge mapenzi ili apate kazi.
Akiwa ofisi moja ndipo alikumbana na mambo yaliyomfanya aone dunia ni chungu.Karibu binti,alisema mtu aliyemkuta hapo ofisini kisha akaingia.NIkusaidie tafadhali?aliuliza yule mtu kama vile anania ya kumsaidia kweli..Natafuta kazi mzee alijibu Tatu huku hajui kama yule anaemwambia ni sugar dadi mzuri hapa mjini na akikukosa basi ujue umeponea kwenye tundu la sindano.
Ah hapa nina kazi nyingi sana binti na umepata kazi..alijibu mzee yule bila hata kuangalia ni nini au ni wapi patamfaa Tatu.Lakini masharti ya hapa ni haya..siri ya ofisi ni ya ofisi.Hakuna kutoa siri ya ofisi hata kama ni polisi wanataka habari yoyote.ukitoa siri ya ofisi ni kujichimbia kaburi mwenyewe.Alishtuka nakuogopa sana Tatu huku akihisi kampuni ile ilikuwa inafanya magendo.
Baada ya siku tatu Tatu aliombwa kufika ofisi ya boss ambye ndie aliyemkuta pale ofisini.Binti hebu kaa hapo,haya ngoja kidogo..alisema yule boss aliyefahamika kwa jina la John maligasi.Aliamka na kwenda kwenye fridge na kutoa chupa ya whisky...karibu binti isikie upo nyumbani na hapa mimi ndie mwenye kampuni hii na hakuna wa kukusumbua.
Mwishowe alijikita akilawitiwa tena ndani ya ofisi,huku pombe zikiwa zimemkaa sawasawa kichwani hakuweza hata kumbishia yule boss wake kwani alijikuta akigezwa huko na kule bila kusema lolotemwishoni akaachwa apate nguvu lakini baada ya boss yule kumaliza shida yake.
Ni kawaida ya boss huyu kula tunda mara moja tu kisha kuacha kabisa matunda hayo ...huamisha majeshi yake mahali pengine na ndio mtindo wake wa maisha.
Baada ya siku tano,Tatu alitimuliwa kazi na kujikuta hana kazi na ameshafanyiwa unyama wa ajabu na boss na akaona hata akienda polisi ni kupoteza muda tu na akaamua sasa kurudi kwa rafiki yake kipenzi Lilian.
Karibu shoga na pole kwa yaliyokukuta.mbona hyo ni kawaida tu na sisi kuuza mkia ni kazi na inalipa kwahiyo usijali shoga..alisema Lilian.Sasa ngoja nikuonyeshe jinsi ya kupata pesa za maisha na utashangaa kipindi kifupi tu utakuwa na nyumba kama yangu na maisha safi kama utataka.Alisema Lilian ambaye wateja wake wengi walikuwa ni wageni na wazungu tu.Dau lake lilikuwa kubwa sana kiasi cha kuwashinda wabongo wengi na aliyeweza alikuwa na mtaji wakutosha.
Alianza kwa kupata mteja ambaye ni mzambia..kaka huyu alikuja mitaa ya ohio akiwa na rav 4 nyeusi na alisimama na wanawake kibao wakamkimbilia akiwemo Tatu na Lilian.Hakuuliza bei bali alimchukua Lilian na Tatu kisha akapiga gia na kuondoka.
Unaona sasa ???alianza Lilian kumuonyesha Tatu kwamba analipa na biashara itafanyika.Usihofu mpenzi hapa ni kupiga moyo konde maana siku nyingine hakuna biashara na siku nyingine mambo kama peponi.
Una shilingi kwapi kwani wewe?mimi hapa bila hamsini alfu hujanitoa hapa...alikuwa ni Tatu aliye kwisha fuzu vuzuri biashara ya ukahaba.Alimjibu mteja wake mmoja na alisha kuwa na wateja anaoamini kuwa haipiti siku mbili lazima waje.Maisha yake yakawa safi na akaanza kuonekana mtu mbele za watu.Ukikutana nae njiani mchana utahisi ni mfanyakazi wa benki fulani au mke wa waziri fulani maana alipiga pamba adimu na kuwaka kwa mbere za hali ya juu.
Taratibu alianza kujulikana kwa kila mtu kwani alifanya mengi na mengi yakusikitisha,hakukataa ofa ya bia wala chakula.Haitwi anaitika,mlango ukijigonga kaitika pia...akisikia mwazini anadhani ni anaitwa yeye,basi ikawa shida na kero kwa walio mfahamu.
Mbele ni shilingi hamsini elfu kwa lisaa limoja,nyuma laki na kote kwa lisaa limoja ni laki moja na nusu kwa kondom.Bila kondom laki tatu...alisikika na mwandishi wa habari akijinadi sikumoja na ndipo alipoombwa aandikwe habari zake gazetini.Bila woga alisema kama mnanipa dau la nguvu,hata picha nipigeni.Tatu huyu alishekwisha pata mabwana zaidi ya elfu tatu na wengine hawakumbuki kabisa.Kama alitumia kondom mimi sijui ila anatisha mazee.
Shirima alitoa vyombo kisha akaja kukaa mkao wa kula sasa,akiwa ameshamaliza kazi zake zote na wafanyakazi wake wakiwa wanaendelea na shughuli nyingine,alikuja na soda aina ya coke na kusema poza koo kaka nikashukuru na kuanza kuninywa kwa tahadhari sana maana sijazoea mimi soda kabisa.
Akiwa na siku kama tatu huku hajapata mteja hata wa kumjaribu kibiashara halafu washindane bei,Tatu alijisemea moyoni leo akija hata mtu wa shilingi elfu moja namkubali maana ni mkosi huu sasa.siku ya tatu hii kama jina langu na nyota haziwaki duh...alijikuta akisema huku wenzake wakifanya biashara kama kawaida.
Akiwa anatunga sheria,alitokea kijana mmoja Nadhifu sana,alivaa shati la blue na suruali nyeusi.Akaja hadi kwa Tatu na kumsalimu kisha akasema twende.Tatu alipoona ni mbongo akamuuliza unash ngapi wewe?Akaambiwa usihofu pesa ni maua tu njoo huku tuchukue tax.
Walielekea mitaa ya kinondoni halafu wakakata kona ya kuelekea barabara ya kawawa.Walipofika magomeni mapipa walielekea nyumba ya kulala wageni iitwayo Pacific.
Naitwa Sillas Shekiondo.Ni mzaliwa wa Korogwe mkoani Tanga na nilikulia huko pia.Nimesoma shule za mkoa wa Dar es salaam na kuajiriwa hapa.Katika maisha yangu ya mapenzi nimekumbana na mikasa mingi kiasi cha kuacha kupenda na kuamua kuwa mtu wa kuhit and run..yani nikipata nafasi naitumia na mwanamke bila kumuweka moyoni..Neno nakupenda lilishasahaulika katika medula yangu.
Niliamua kufanya hivyo baada ya kugundua mpenzi wangu niliye mwamini sana ana uhusiano na mwanamke mwenzake.Tena rafiki yake ambaye nilimuheshimu sana na kudhani ni mtu wa kumtegemea.
Binti huyu alianza kunifanyia vituko na kukataa kabisa kutoa unyumba,alisema amechoka muda mwingi na nikawa namuelewa..mwishoni uvumilivu ulinishinda na kuanza kufanya utafiti wa kina juu ya suala hili la kukosa unyumba.
Siku hiyo nilitoka kazini mapema nikarudi nyumbani.Kufika nikakuta mambo ya ajabu sana.Nilipotoka kwenda kazini nilitumia mlango wa uani na sikuufunga kwa funguo baada ya kutoka.Niliporudi ghafla,nilitumia mlango huo huo ili nisisumbue mama watoto niliyedhani atakuwa amejipumzisha.
Taratibu niliingia ndani na kukingia moja kwa moja chumbai ili nichukue karatasi nilizozihitaji na kutoka.Si kawaida yangu kugonga mlango wa chumbani kwangu kwani ni mke wangu tu anaweza kuwapo chumbani basi nikafungua taratibu nikijua atakuwa amlala ili nisimwamshe.
Mashallah nilijikuta nikisema huku wanawake hawa wakiwa uchi wa mnyama na wakiwa wanatumia uume wa plastic kufanya mapenzi,huku wakiwa kwenye safari yao hiyo waliyoona inawapeleka kunako kilele,walishtuka kuniona na mimi kama ambaye sijawaona sikusalimia bali nilichukua karatasi nilizohitaji na kitimka zangu.
Nilikosa raha takribani mwezi mmoja,nikawa narudi nyumbani huku nikiwa na mawazo kibao.Nikaamua kulala sebuleni japo nyumba ni yangu.Huyu ni mwanamke wa saba sasa anafanya mauzauza.Wakwanza nilimfumania nikampiga sana kisha nikamtimua kwangu.
Wa pili ni Sophia niliye mfumania pia na mwanaume kisha nikaamua kumuacha bila kumpiga.Aliomba sana msamaha lakini sikuona sababu ya kumsamehe na hadi leo anatamanikurudiana na mimi.
Wa tatu ni Hadija ambaye aliniwekea sumu kwenye chakula baada ya mimi kumaliza ujuenzi wa nyumba hii.Huyu alikuwa ni mchaga wa machame na aliona akaunti yangu ina millioni tisa basi akataka kuniua ili achukue kila kitu.
Wa nne ni Cecillia,Huyu alikuwa ni muhudumu wa bar ambaye nilimuachisha kuuza bar na kumfungulia biashara ya kuuza simu.Marafiki walisababisha nimwache kwani walisema sina hadhi ya kuwa na mwanamke muuza bar.Lakini alikuwa mwaminifu na mvumilivu ajabu na namkumbuka kila nipatapo balaa na mwanamke yoyote.
Wa tano ni Kaundime,huyu aliniibia vitu vingi sana akiwa anamuhonga kadogoo.Kijana muuza chips ambaye alimlaghai mchumba wangu kwa chips..kila ikifika joini alikuwa hapiki kwa madai kwamba ameshiba na hana njaa..nikaanza kwenda kula bar na kunywa pombe huko nikapata malya na yeye akapata mimba ya muuza chips yule na akakimbia bila kuaga.
wasita na wasaba ni siri yangu maana nisianike kila kitu wazi ili mnicheke..bora nibakize huyu mmoja maana wasaba ni huyu sasa msaganaji na sasa nimeamua nikae kimya maana najua adhabu ya ukimya ni kali kuliko hata viboko.
Kila nikirudi kazini sina mpango kabisa na chakula kwani hubadili nguo kisha naenda bar ya karibu na nyumbani kupata bia niipendayo ya konyagi ya kopo.
Nikirudi nyumbani nimelewa na nimeshiba nyama choka au supu ya mkia na ni kulala tu tena sebulaeni.Haya yakawa maisha yangu na nikitoka asubuhi naacha pesa ya matunizi kama kawaida na kama jadi.
Nakumbuka siku hiyo bibie aliniomba pesa ya kwenda saloon kisha pesa ya mahitaji kibao na bila hiyana nikampa.Kumbe ndio ilikuwa nauli na kwaheri,baadae jioni alikuja rafiki yake mmoja na kusema alimuaga kwamba hatorudi maana anajua adhabu unayotaka kumpa na unasita sio nzuri lazima itakuwa ni kali sana..alisema rafiki yake yule na kuondoka.
Sasa nifanye nini sasa?Nilianza kuwahadithia marafiki zangu na walinipa ushauri niliouona kama nguvu za giza.nikaona ni heri nifuate yaliyo akilino mwangu na kuacha ushauri wa walevi na marafiki waliotulia na ndoa zao.Siku zote huwezi kujua ni nini kinaendelea katika ndoa za watu na ukichunguza utakuwa mbeya na hufai katika jamii lakini kushea mawazo na watu ni kupanua wigo wa upeo wako wa kufikiri..niliwaza hili siku moja.
Si ndio nikaamua kwenda sasa kunako mitaa ya machangudoa ili nijitwalie mmoja nikafanye nitakacho kisha niangalie ustaarabu mwingine?Nikiwa guest pale pacific,niliamua kukaa nae nje kwanza na kumwambia apate chochote atakacho.
Tulikata maji ya kufa mtu,yani tulikunywa sana pombe siku hiyo.Kufika jioni alikuwa tayari yupo hoi niona sasa nimwache alale.Huku nikiwa nimeingiwa na hamu kubwa na ngono..Basi nikaingia chumbani nakuanza kumtomasa tomasa binti yule ..
wakati wote huo sikuwahi hata kumuuliza jina lake lakini nikajua ah nipo naye tu kwahiyo hakuna soo.Nilikula kunda kwa style ya harakaharaka maana pombe zilianza kuuchukua mwili kwa kasi nikajua hapa leo nitapatikana.Niliishia usingizini huku mfukoni nikiwa na kama mshahara wa mwezi mzima hivi.kitu kama laki tisa za kitanzania.
Nilishtuka saa tano asubuhi na kukuta binti ameshaoga na kuketi uchi.Kama vile anasubiri kitu kwa hamu sana...Jana umefanya nikiwa mlevi halafu sikusikia lolote haya njoo uoge halafu ufanye upya..wewe mteja mzuri lazima ufaidi..alisema Tatu huku nikitabasamu na kumuuliza jina lake..
Ni binti mkarimu sana na sijui kwanini anafanya biashara hii...wakati naoga na kuwaza yote haya nikakumbuka pesa zangu.Nikatoka na mapovu ili nikacheki kama zipo kisha nikarudikuoga tena.Nilipata wazo nikiwa kule bafuni ambalo nilidhani ni zuri kwani mambo ni kujaribu tu.
Nilikaa na Tatu siku tatu pale guest na nikawa nakula matunda kwa raha zangu.Nilihoji kama naweza kumuachisha kazi ya uchangudoa na akawa hana jibu zaidi ya kulia sana na kunipa historia ya maisha yake yote hadi kuamua kufanya kazi ile...roho yangu yahuruma ikaniingia kisha nikamwambia nipe muda nataka nikae na wewe kama wiki kisha nijue nini la kufanya.
Nilimshawishi tukapime ukimwi na alukubali akiwa hajui nini malengo yangu na wakati wote huu sikumsikia akidai ujira wake.Roho ilikuwa inamdunda sana na akawa anajua matokeo yanawezakuwa -ve au positive.Basi akawa anahangaika huku na huko nikamwambia tulia bibie.
Baada ya muda tukapewa ushauri nasaha na kuna nesi mmoja liniangalia sana akahisi labda nimemleta pale Tatu na mimi ni muhandishi wa habari akanifuata na kunisabahi kisha akaondoka.Baada ya muda dokta alituita huku wote tukiwa na wasiwasi sana lakini alisema kirahisi tu kwamba mpo salama na kuweni makini na mabalozi wazuri.Itabidi mrudi tena kupima baada ya miezi mitatu..alimalizia yule bwana vipimo.
Tuliporudi guest ndipo nikamwambia Tatu kuwa sasa anafaa kuwa mke wangu tena bila kuchelewa tufunge ndoa...ikawa kama utani akasema na deni lake nisimlipe na ndio tukatoka sasa kuelekea hapa kwako Shirima kuja kupata soup ya mkia.
Tuliporudi nyumba ya wageni aliniomba aende kwao mara moja kumwangalia bibi yake..Mimi nilipata mwanya wa kwenda nyumbani pia na kucheki maswala yangu ya kule kwangu.Kumbe hakwenda kwa bibi yake bali alienda kwa rafiki yake Lilian na kumhadithia yote yaliyotokea kati yangu na yeye.
Bahati hiyo sasa,ukizembea shauri yako wenzako watakucheka na haiji mara mbili.alisema Lilian akimpa matumaini mwenzake Tatu.Kwahiyo mimi nimemwambia hata ujira asinipe na ndo hivyo dada nimepima ngoma na sina yani hapa nataka niache kunywa pombe.
Alipanga mambo mengi akiwa na Lilian na ndipo jioni kama saa kumi na moja aliamua kurudi pale Pacific ili akutane tena na mimi.Basi maisha yakaendelea na tulikuwa wapenzi kwa siri kubwa sana.Niliogopa wenzangu wangenicheka kwani hakuna asiye mfahamu Tatu.
Uzito wa gunia muulize kuli na siri ya mtungi aijuaye kata bwana.Ukipenda boga unapenda na ua lake na maji ukiyavulia nguo si lazima uyaoge...ni baaadhi tu ya maneno ya kiswahili yatiayo moyo kwa watu walio na mazingira magumu kimaisha ya mapenzi.
Kwahiyo kaka huyu ni demu wako..aliuliza Shirima kwa mshangao...??Nikwambie nini Shirima?kipenda moyo hula nyama mbichi........kizuri kwako kibaya kwa mwenzako na mavi ya kale hayanuki kaka...........Jioni basi tutaonana pale delux tukanywe konyagi bwa she ..nilimuaga Shirima nikamshika mkono Tatu na kuondoka.
Hivi nipo mbioni kufunga ndoa na Tatu..ametulia ajabu na hataki tena pombe wala uchangudoa.