Stay Signed In
Do you want to access your site more quickly on this computer? Check this box, and your username and password will be remembered for two weeks. Click logout to turn this off.
Stay Safe
Do not check this box if you are using a public computer. You don't want anyone seeing your personal info or messing with your site.
Tulifika nyumbani kwangu mida ya saa 4 usiku.Timo alisema amechoka sana na mvua kubwa ilikuwa inanyesha.Sikuona sababu ya yeye kwenda kwake hivyo nilimshauri alale pale kwangu na asubuhi angekwenda kwake.Ah bro kwanini usinipeleke kwa gari tu?aliuliza Timo huku moyoni anasema bora akatae tu maana nitakosa uhondo leo.
Niliona ni vema abaki tu pale maana ni jana tu nilikwama na gari hapo karibu na mfereji wa maji machafu halafu usiku huu..ah Baki tu Tino nimechoka hata hivyo halafu jana tu nilikwama hapo mferejini.
Ilikuwa furaha kwake kwani alijua sasa atafanya yale aliyozoea kufanya na nikawa najua wazi sasa nakamata mwizi wangu kama atakuwa mjinga na kama hajui yupo mtegoni.
Saa 8 usiku najifanya nimelala fofofo..mke wangu ananigusa hapa na pale najifanya sisikii tena nakoroma sana.Kisha namsikia akisema "BABU JINGA INAMA UFIKIRI MALI YAKO INALIWA" Dah..kidogo niamke na kumtandika konde ila nikajikaza na kuendelea kukoroma tu.
Aliamka na kwenda hadi chooni kisha akabamiza mlango kuona kama nitashtuka.Nikajifanya bado nipo fofofo.Ghafla nikapitiwa na usingizi kweli na Mke wangu akenda hadi sebuleni na kumuita Timo kisha wakaanza kulibanjua tunda.
Nilishtuka na kuanza kwenda sebuleni kwa tahadhari kubwa huku mkononi nikiwa na bastola yangu kama naenda kumvamia jambazi vile.Kufika sebuleni nikafungua mlango na kukuta mke wangu amekunjwa kwa style ambayo mimi sijawahi mfanyia halafu anafanyiwa mambo ya kinyume na maumbile.
Nilishikwa na hasira sana lakini nikahoji moyoni kwanini haya yamekuwa kama nilivyosikia na kwanini haya yanatokea nyumbani kwangu??Tena afanyae ni mfanyakazi wangu na rafiki yangu niliemtoa shimoni na kumuonyesha maisha ni nini??
Nilibaki kusema Kikulacho ki-nguoni mwako na vaeni nguo muondoke sasa humu kwangu.Kuanzia leo sikutaki na wewe kesho sitaki kukuona kazini kwangu walatusiwe marafiki milele.
Timo akiwa hana woga sana .alisema..bro unajua ulioa sipo yani huyu mwanamke siye.Huyu ni kahaba na hafai kuwa mwanamke na siku nyingine uwe unapata ushauri kabla ya kumparamia mwanamke ..ok bro kwaheri.
Sikutaka kusikiliza maneno ya Timo nikamwambia hayanenda sasa KUPE.Wakiwa wanatoka nikapiga risasi hewani kama tatu hivi kisha nikaona wameanguka chini na mke wangu akiomba msamaha sana na Timo akiwa analia kwa woga wa kuuawa.
Sikutaka kuwapa watu mada ya wiki,yani sikutaka watu wazungumze juu yangu kwa kujua nimefumania bali niliamua kufanya siri na watu washangae tu harusi navuta kipusa kingine.
**************************************
Naitwa Mikidadi Daudi ila wengi hufupisha jina langu na kuniita Miki,nimejiajiri mwenyewe na nina kampuni yangu ya kusafirisha mizigo mizito nje na ndani ya nchi.Naishi peke yangu na nipo mbioni kutafuta mwenza wa kusindikiza usiku wenye mengi ya ajabu.
Kampuni hii niliuziwa na Baba yangu baada ya yeye kuona ameshaiendesha kwa muda mrefu na imepanuka sana na alitaka kuona inaendelea kuwa mali ya watoto hata baada ya yeye kuondoka na alitaka kujenga misingi ya kujitegemea kwetu watoto.
Niliendesha kampuni hii kwa ufanisi mkubwa na nilikuwa nikijua ndio maisha yangu na sikutaka kufanya kosa katika biashara yangu hii.Siku zote nilijua nitakuwa na familia na itahitaji pia uangalizi na kuachiwa kianzio pale muda wangu uatakapofika.
Nikiwa kazini siku moja alikuja kijana mmoja ambaye simfahamu kabisa na alikuwa akitaka kazi.Sababu siku hiyo nilikuwa na vishughuli vingi,nilimpa kibarua cha kufanya ili asaidiane na karani wangu kupanga na kupangua mambo kadhaa pale ofisini.
Alifanya kazi kwa bidii kubwa sana siku ile..alihakikisha kila kitu kina chukua muda mfupi na kinakuwa kama alivyoagizwa.Nilijua ile ni nguvu ya soda maana anajua akifanya kazi kwa bidii atapata ajira ya kudumu.
Muda wa siku tano ulipita na nikaona nimsaidie tu huyu kijana kwa kumpa ajira japo si ya kudumu ila nimuajiri kila baada ya miezi mitatu.Akawa na mimi kila siku huku karani wangu akionyesha wazi kwamba kijana ni mtanashatai na mchapakazi mzuri.
Mara nyingi nina tabia ya kuwatoa out wafanyakazi wangu hasa ninapokuwa nimepata faida kubwa na huwa nawapa Bonus kubwa pia.Leo ijumaa nataka niwapeleke Bagamoyo nyie na familia zenu kwa weekend nzima kisha Jumapili tutarudi.Niliwaambia kisha nikatoka kwenda kijiandaa.
Mara nyingi mimi hupenda kumpa uhuru mke wangu na huamua aina ya marafiki awatakao na hata aliposema anakwenda kwa rafiki yake ambaye sikumkumbuka wala sikuwa na hofu sababu nilimuamini sana mke wangu huyu.
Siku moja nikiwa na kazi nyingi ofisini,nilimuita Mika na kumtuma kwangu,Nenda kamwambie mama yako akupe mzigo nimeshampigia simu.Kisha Timo akaondoka na kutimiza niliyomwambia.
Nilishamngaa kuona ukimya wa Timo kwani hadi wakati huo naangalia saa ilishapita tayari li saa na nusu na hakukua na matumaini ya Timo kuonekana.Nilipiga simu nyumbani haikupokelewa nikaona labda hayupo nyumbani nikajaribu simu ya Timo akapokea na kusema hakuna mtu nyumbani hivyo anasubiri.
Rudi kazini mara moja kuna kazi nyingi sana hapa nilimuauruTimo na kuendelea na kazi zangu.Nilirudi nyumbani na kumkuta mke wangu mwenye wasiwasi ila sikutaka kujua nini kimetokea kwasababu nilikuwa nimechoka sana.
Ni mwezi wa tatu sasa tabia ya mke wangu inabadilika sana,anakosa adabu na anakuwa anafanya mzaha sana.
Siku moja alikuja Timo ofisini kwangu na kuniambia anakitu mihimu sana anataka kuniambia..sikudharau nikajua lazima kitakuwa muhima na sina budi kumkubalia.
Sijui nitaanzia wapi lakini ngoja tu nimwambie,ah au ngoja nisimwambie bwana anaweza akanifukuza kazi..alijadili kama aniambie au asiniambie kwa muda mrefu kisha akaamua kupata ushauri kwa rafiki yake mkubwa aitwae Sele.
Sele yamenikuta mwenzio...alianza kama kawaida yake Timo apendavyo utani.Mke wa Bossi juzi kanibaka jamaa yangu.Nilitumwa na bossi hadi kule kufika nikamkuta mke wa bossi akiwa nusu uchi.naona aliambiwa kuna mtu anakuja basi kufika nikakaribishwa ndani.Kisha nikaitwa chumbani nikaambiwa kuna nyoka nikaue.Kufika nikaanza kumtafuta na ndio mke wa bossi akaja na kufunga mlango kisha akaniambia nisipo zini nae atapiga kelele kwamba nataka kumabaka.
Sasa wewe ulifanyaje..aliuliza Sele,Mie nilikubali tukavunja amri ya sita pale kisha bossi akapiga simu kuuliza mbona sirudi nikamdanganya kwamba namsubiri mama aje.
Sasa kaka yangu nataka nimjulishe bossi juu ya hili maana akijua hawa watu wenye pesa nitaozea jela mie.Au unasemaje kaka???Timo alimuuliza Sele huku akiwa na siku 2 alizopewa kabla hajakutana na bossi wake ili amwambie kinachomsibu.
Sijiu hata nikwambie nini kwani ukimwambia utavunja ndoa yao na utakuwa katika nafsi gani mbele ya bossi wako??naona ni vizuri umwambie lakini anaweza akakutimua kazi pia kwani atasema kwanini huku mwambia siku ileile.alisema Sele huku akionyesha wasiwasi mkubwa sana.Hii ilimfanya Miki kuwa na hofu sana na aakaona hakuna analopata pale kwa Sele zaidi ya kujenga hofu tu akaona aage na kuondoka.
Siku ilifika Timo alifanya kazi zake kama kawaida na kuwadia ule wakati ambapo bossi alimuita ofisini akitaka kujua nini kimemsibu kijana wake.
Bossi mimi naomba uniajiri tu kwakweli..alisema Timo huku akiwa na hofu.Hata Miki aligundua hofu ya Timo na akamwambia mbona unawasiwasi sana,nitakuajiri ngoja niandae mkataba halafu nitakuita usign.
Alitabasamu kinafiki kisha akatoka na kuendelea na kazi zake.Hakuwa na raha na aliomba Mungu asitumwe tena pale kwa bossi wake.
Siku moja jioni alishangaa kumuona mke wa bossi wake akija kwenye kachumba kake alikopanga,kalikuwa kachumba kadogo kenye vyumba viwili na alifika akiwa amejipamba sana.Mama huyu mwenye takribani miaka 35,alifika kwa kijana Timo mwenye miaka 25 na kuanza kumkalia hovyo.
Nimemuaga naenda kwa mama yangu mkubwa huyo bossi wako usiwe na wasiwasi,ninataka kukutafutia chumba kikubwa ikiwezekana nikupangie nyumba kabisa Timo,nakupenda sana..alisema magge mke wa Miki huku akimbusu Timo mdomoni.
Timo alijiuliza hivi huyu mama kwa Miki anakosa nini jamani?Kila kitu pale anapata nashangaa anakuja tena kwangu,au Miki jogoo hapandi mlima??nilijiuliza huku ikiwa mida yasaa kumi na moja na mama yule akisisitiza twende chumbani kwani ana lisaa limoja na nusu tu lakukaa pale.
Nikiwa sina hofu sana tuliingia chumbanilikaanza kusasambua nguo zake.Likabakiza za ndani tu kisha likanivuta hadi kitandani na nikaanza utundu wangu japo kwa woga.Nililipeleka huku na huko mama hili hadi likaanza kuongea maneno ya ajabu ajabu tu.Nikajua huyu Miki huwa anampapasapapasa tu huyu hampi ile kitu roho yake inapenda.
Tabia hii ikaota mizizi na ikawa kama ndio kazi yetu sasa kila siku tunabanjua matunda halafu nikawa napewa pesa na huyu mama na akawa analipa na kodi ya nyumba tena sio kwa miezi bali alilipa kwa mwaka mzima,
Kwa bahati mbaya sijui niite au nzuri,alipata ujauzito,Usiwe na presha mpenzi huyu ni mwanao tu na nitambambika Miki,sasa mama mie inamaana siruhusuwi kuoa??alihoji Timo huku akionakama mama yule kwa aina fulani anataka yeye asioe na waendelee kuiba mapenzi ya Miki tu.
SIkia Timo,mimi naiba pesa za Miki taratibu zikifika za kutosha tunaondoka zetu.Au tunampa sumu halafu narithi mali yote na unakuwa bossi sababu unajua kazi ile.
Maneno haya yalimpa tamaa Timo akaona sasa nuru ya mafanikio haipo mbali na ni muda wa kukaa mkao wa kula kusubiri mali ya dhuluma,tena baada ya kumwaga damu isiyo na hatia.
Mimba ya Magge ilikuwa kubwa,akawa anamtumbo mkubwa na akawa akimtesa sana mumewe.mara amtume kitu ambacho chapatikana mbali sana ili atumie muda mwingi na Timo,au aseme anaenda kwao wiki2 alimradi karaha kibao zilizompa nafasi ya kufanya mambo mengi sana na Timo.
Ni mwezi wa kumi sasa na hakuna dalili zozote za Magge kujifungua,Miki anampeleka kwa daktari bingwa wa wananwake na wazazi nakupata vipimo sahihi na baada ya siku kadhaa wanaamua kumfanyia upasuaji magge.
Pole sana mzee mtoto alifariki baada ya upasuaji tu,alikuwa hajakamilika na alikuwa amebebwa vibaya tumboni.Maneno haya hayakuwa mazuri kwa Miki aliyetegemea kuwa ma mtoto na mrithi wa mali zake.Aliumia na kujikaza kiume kisha akamchukua mkewe wakiwa na Timo ambaye alikuwa bega kwa bega na Miki kama vile ni ndugu.
Timo nashukuru sana kwa kuwa karibu na mimi katika kipindi hiki kigumu na nimeona wewe ni rafiki mzuri japo i mfanya kazi wangu.Alisema Miki huku akimpigapiga Timo mgongoni.
Angejua ni mimi ndie mwenye mimba naona saa hii ningekua njiapanda ya kuzimu,nilijisemea nikiwa nahuzuni moyoni kwa kumtendea mwanaume mwenzangu kitendo cha kinyama sana.
Siku zilienda na tukjachonga mzinga,unajua mapenzi ya wizi ni matamu sana sababu unakuwa na muda mfupi halafu unautunia inavyopaswa.
Mdogo wa Magge,mke wa Miki,alikuja toka kijijni,Binti huyu alikuwa ameumbika sana na ghafla akawa gumzo pale mtaani.Nilimtamani sana na nikawa naanza kupiga ndogondogo kumnyatia japo kwa siri kubwa ili Dada yake au shemeji yake wasijue.
Siku moja nilimwalika hadi sehemu moja hivi ambapo watu hupata moja baridi kisha tukaongea mambo mengi sana.Baada ya muda mfupi tukazoeana sana na tukawa marafiki na hata Miki alijua na aliniaminia sana sababu nilikuwa rafiki yake pia na akasema hana shida hata kama nataka kumuoa ni juu yangu tu.
Magge aliona hapa atakuwa anapoteza kitu kwani alihisi mie na Mdogo wake aliyeitwa Happy.Jamani mpenzi mie na Happy ni mabest tu na natumia njia hii kuficha ukweli wa siri yetu maana akijua huyu Miki atatuua wote wawili.
Magge alianza kuja nyumbani tena kila alipojisikia,siku moja akaniuliza...hivi kwanini wanawake wakitongoza mnawaita malaya??Basi Timo kwa taarifa yako leo nakutongoza na siku hizi mwanamke akitongoza sio malaya bali AMEWAHI.
Baada ya maneno yale alikuja hadi karibu yangu na kuniambia nitake nisitake lazima niwe wake kwani amenipenda sana na anaona nachelewa kumwambia kama nampenda au la.
Mie sikuwa na hiyana nikakubali na tukafungua ukurasa mpya wa mapenzi,mchizi nikala mtu na dada yake kisupersta.
Magge aligundua na akawa kwa siri kubwa anafnya uchunguzi kwa kina sana.NIlikuwa mbumbumbu kwai sikuhisi kama Magge anaweza kuja bila taarifa na nilimkabidhi funguo moja ya ghetto langu Happy.
Siku hiyo misa ya saa 9mchana nikiwa ndo nimerudi tu nyumbani,kumbe Magge ameweka walinzi wake wakiniona tu wamwambie.Nikakaa ndani kisha nikasikia mtu akiingia bila hata kugonga.
Hujambo mpenzi,Alikuwa ni Magge aliyeingia kwa kishindo huku akiwa na mihasira.wew siku hizi nahisi unatembea na Happy maana naona Happy haniheshimu kabisaa halafu unajifanya waficha siri.nitakukomesha tu ngoja.alisema Magge kisha akataka kuondoka nikamshika mkono na kumpeleka chumbani.
Sikutaka kumtosa ghafla kwani alikuwa anakata mshiko si wakitoto,pesa alizonipa mara nyingi niliweka bank kwani nilijua mapenzi yake ni ya muda tu na itafika muda sitakuwa nae na nimezoea kupata senti zake nikaona nizisevu kwa mbachao.
Mpenzi mimi nataka tuoane bwana halafu wewe hutaki.Nimeshamwambia dada kuwa nina mchumba halafu akataka kumjua nikamwambia asubiri hadi niwe na uhakika ndio nitamwambia..wewe unasemaje sasa mpenzi?'alikuwa ni Happy akinipa habari iliyogandisha moyo wangu.
Nilifikiri sana kisha nikamwambia subiri kwanza usimwambie dada yako.Mambo mazuri hayataki haraka bwana na polepole ndio mwendo mpenzi na tutafika tu.
Siku moja niliamka nikiwa mchovu sana na kawaida siku kama hizi huwa ni mbaya sana kwangu.mara nyingi huwa napata uvivu hata wa kupika na kufanya kazi nyingine.Nilimpigia Magge akasema anaenda na Mumewe kibaha nikaona basi nimpigie Hapy ili aje tuspend ze day wawili.
Hakika wanipenda mpenzi yani dakika moja tu umeshafika,nilihoji baada ya kushangaa muda mfupi tu alishafika Happy.Wameondoka nikaona na mie niondoke nije kwako maana usiku nimeota naibiwa nikachanganyikiwa kabisa...alisema Happy khuku akiingia jikoni kuanza mambo ya upishi.
Haki ya nani mwaka huu alzima nioe maana naona kazi hapa.Mwanamke anajua wajibu wake sio kama lile limama kubwa likija lataka ngono tu na kuondoka bila hata kumlea mwanae kwa misosi au mahanjumat ya kulakula.
Waakti wote huu Miki alibaki kuwa rafiki yangu mkubwa,tukaanza kwenda bar wawili huku tunacheka sana na akinikosa siku moja ananiita kwa simu,na nikimkosa namwita yeye kwa simu.
Akawa hata akiwa anaenda nje ya mkoa basi ofisi aliikabidhi kwangu na sikuwa naharibu kitu kwa mume mwenzangu huyu.Sikutaka kumharibia biashara na mkewe kwa pamoja.
Pamoja na kuwa na mume na mwanaume wa nje tena mfanyakazi wangu,Happy alifanya mengine kwa siri kubwa na hakuna aliye yajua.
Niliaga jioni moja kuwa naenda kikazi Arusha,niliondoka kweli nikiwa na nia ya kusafiri kwenda Arusha na nilipofika maeneo ya Chalinze gari yangu iliharibika.Nilimpata fundi mmoja akawa anatengeneza gari na akasema kuna spare lazima aifuate Dar.
Niliona ni heri nirudi Dar na nikamkabidhi gari rafiki yangu Abbas ambaye ni Traffic police pale chalinze ili niende nyumbani kuchukua gari nyingine.
Sikutaka kumwambia mtu juu ya ujio wangu pale nyumbani na hata Timo nae hakujua kama mie nitarudi siku ile.Nilifika nyumbani na kukuta nyumba imefunga kana kwamba hakuna mtu aliyeshinda pale.Sikujali niliingia na kuchukua funguo za gari nyingine kisha nikakaa mezani nikawa naandika ujumbe kwa mke wangu.
Ghafla simu yangu ikalia,Mzee nimeshapata spare zote na nataka kwenda sasa kumalizia kazi.Kama upo tayari tuondoke huna haja ya kuchukua gari nyingine.Alisema fundi yule niliemtambua kwa jina la Karim.
Tukiwa njiani,Fundi alisema maneno ambayo yalinifanya nicheke na ni ya kwaida kwa sisi vijana.Kwa mbele aliona mwana mama akiwa na kilo mia mgongoni.(tungo tata hii inaa maana amefunga mkia wa haja)Labda niweke wazi kwamba tuliona mwanamke akiwa ameumbika kisawasawa kuanzia mbele hadi nyuma.
Mwaka huu lazima nihonge hadi spana yangu ya mwisho wallah.Alisema Karim huku na mimi nikigeuka kuangalia na kuona alikuwa ni mke wangu akiwa ameshikana mkono na kijana ambaye sikumfahamu.
Basi lilikuwa likienda kwa kasi sana hivyo nikaamua kumpigia simu kuona kama angeongea kwa woga ama ujasiri.Hallo habari,mbona upo kimara saa hizi na huyo ni nani hebu niambie.
Hujaenda Arusha kwani mume wangu?Aliuliza Happy kana kwamba hana woga kabisa.Moyoni nikajua atakuwa ni mtu wanaefahamiana sana na sikutia shaka sana.
Walienda mtaa wakwanza na wapili hadi mafichoni Guest house.Nyumba hizi ambazo hutoa huduma ya short time mimi huziita dhambi house.Waliingia ndani na kuanza kupata vinywaji taratibu na huku wakishikana hapa na pale bila woga wowote ule.
Siku hiyo Happy alikuwa na miadi na wanaume kama wanne hivi na cha ajabu aliweza kupanga muda wake kiasi kwamba wote hupata tiba wanazostahili na bila kugongana uso.
Baada ya miunguko ya siku nzima,Timo aliamua kwenda kwa msichana wake wa zamani sana.Walikutana na kuanza kusalimiana na kukumbatiana.walipeana michapo kibao kisha wakapanga kwenda sehemu kupata moja moto na kupoteza muda.
Wakiwa huko walipanga mengi juu ya maisha ya baadae na walifikia muafaka wa kuoana.Timo hakusita kumwambia Miki kuwa anataka kuoa na Miki kwa furaha aliahidi kugharamia shughuli zote za ndoa ya Timo.
Baaada ya ndoa ya Timo,Miki alikuwa karibu sana na Hilda.Huyu ni mke wa Timo ambaye ni mzaramo na ni dada anayejipenda na kujisikia sana.zaidi ya yote hupenda sana pesa na anaweza fanya lolote tu alimradi apate pesa.
Waswahili husema kila mla cha mwenziwe na chake pia huliwa..ila mi nasema ukiua kwa shoka utauawa kwa sime.Mazoeano kati ya Hilda na Miki yalizidi na wakajikuta wakiwa wapenzi wezi.
Mara kadhaa ilitokea kwamba Miki anamuaga Timo kwamba anaenda mara moja na abaki ofisini wakati Miki alienda kwa Timo kufanya au kuvunja amri ya sita na Hilda.
Mara kadhaa Timo nae alitoroka bila kuaga kazini na kwenda kwa boss wake kufanya au kuvunja amri ya sita na Happyambaye ni mke wa Boss wake.
Wakati yote haya yanaendelea hakuna aliyekuwa na habari juu ya nini kinaendelea kati ya mkewe na rafikiye bali walikuwa kama vile mapacha na waliendelea na urafiki wao kama kawaida.
ITAENDELEA
naidedicate story hii kwa dada yangu Lenny(Ceaser)nadhani nakuna moyo wako taratiiiiiiiiiiiiibu
Kila mmoja alikuwa makini sana huku akiomba Mungu siri isijulikane kwa mwenzake na Timo alijua wazi kwamba Miki akijua kwamba anatembea na mkewe ndo utakuwa mwisho wa yeye kufanya kazi kwa Miki.
Siku moja Happy aliondoka nyumbani kwa mumewe na kwenda hadi Bar moja ya mbali ambapo alikuwa na miadi na mwanaume mmoja.cha ajabu ni kwamba,wanaume hawakuwa wakimpa pesa Happy,yeye ndo alikuwa akiwapa pesa baada ya kuzini na hii alifanya ili wasi mwambie mumewe sijui au alikuwa na nia gani mie sina moja wala mbili bali ninachoweza kufanya ni kumuita Happy siku moja na kufanya nae mahojiano.
Lakini pia waswahili husema Zimwi likujualo halikuli ukaisha na ndio nadhani inavyotokea kwa marafiki hawa.Hawafanyi starehe wakamaliza bali hubakiziana na kuachiana makombo ya mapenzi.
Basi bwana alipofika sehemu ila kwenye miadi,Happy alianza kuangaza huko na kule kumtafuta mgeni au mwenyeji wake.Ghafla macho yake yalitua kwa mwanaume ambaye hakutarajia kumuona..mwanaume ambaye Happy hawezi kumsahau na huyu anaitwa Toby.
Toby ni mwanaume wa kwanza wa Happy na Toby amejaliwa kuwa sehemu au viungo vya mwili vyenye ukubwa usio kifani.kifua chake ni kama matako ya mtoto wa miaka kumi na sita hivi ambaye amenona na tumbo lake ni draft.Mkono wake ni kama yangu miwili na MIGUU YAKE YOTE IMEJALIWAUKUBWA usiniulize kwanini nimetumia herufi kubwa kwenye neno hili.
Basi ghafla vipele vya bariki vikamtoka Happy na akaita kwa nguvu.."my Darling"Kisha akamfuata na kusahau kama alikuwa pale kwa miadi.
Samahani sana Happy usinibusu jamani nimetoka kuona juzi tu na hapa nipo kwenye fungate.Huyu anaitwa Husna na ndie mke wangu Happy nisamehe kama nitakuwa nimekukera.Alimaliza kijana mtanashtai Tobias huku akitoa tabasam lililomfanya Happy kuwa na wivu wa ajabu.