Piczo

Log in!
Stay Signed In
Do you want to access your site more quickly on this computer? Check this box, and your username and password will be remembered for two weeks. Click logout to turn this off.

Stay Safe
Do not check this box if you are using a public computer. You don't want anyone seeing your personal info or messing with your site.
Ok, I got it
Back To Home Page
SWAHIBA
        Unaamini miujiza Swahiba,niliuliza na akajibu kuwa huwa anaamini kuwa miujiza ipo na nikamwambia basi subiri utaona miujiza.

      Ilikuwa ni pasaka,nikiwa na mawazo mengi juu ya Swahiba wangu huyu ambaye sikuwahi hata kumuona.Jioni nikapiga simu yake na akapokea kisha nikampongeza kwa kuiona siku ya pasaka tukacheka kisha nikamwambia juu ya wazo langu la kuwa wapenzi.

        oooooooh swahiba..alisema,tumekuwa marafiki kwa muda mrefu na sasa ni takribani miaka miwili sijawahi kumuita mtu MPENZI....nakupenda mpenzi..alimalizia huku akicheka kwa haiba ya aibu na hofu fulani ya mapenzi.

                coming soon!